de'levis
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,222
- 1,567
Kwa namna mwanasheria mkuu wa serikali anavyoongea huku akiufagilia namna mswaada ulivyowakilishwa na namna alivyoponda hoja zilizotolewa na mh. Lissu pamoja na Machali kuna dalili zote kwamba muswada unaenda kupita bila kupingwa! Ila wajiandae, hiki ndo kifo chao moja kwa moja!! Bye bye CCM!
hatujawahi kuwa na mwanansehria mkuu wa nchi bogas kama huyu.......hana lolote ....