Tofauti ya Utawala wa Hayati Rais Magufuli na Rais Samia

Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.

Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.

Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Alikuwa shujaa wa afrika ila alishindwa kabisa kuongeza mishahara kwa ng'we zake zote mbili
 
Pamoja na uboya wa magufuli ila kwenye UONGOZI ALISIMAMA KAMA KIONGOZI HAKUYUMBISHWA HATA KAMA ALIAMUA MENGI KIJINGA ILA ALIUISHI UJINGA WAKE NA KUUAMINI.

That’s a how a leader should be , ni watu wachache sana wenye leadership skills za magufuli, mpaka nilikua najiuliza huyu Baba anajiamin nini kuwatunishia had wazungu wakati alikua mtoto wa mkulima tu, Yan tumepoteza mtu Makini sana Tanzania , tumerud kwenye uongozi wa kikwete
 
yani mtu ashakufa kawa mfuu lkn bado unamsujudu, tafadhali jifungie chumbani kwako tubu iyo dhambi ya kumuabudu mfu...
 
That’s a how a leader should be , ni watu wachache sana wenye leadership skills za magufuli, mpaka nilikua najiuliza huyu Baba anajiamin nini kuwatunishia had wazungu wakati alikua mtoto wa mkulima tu, Yan tumepoteza mtu Makini sana Tanzania , tumerud kwenye uongozi wa kikwete
Angalia tena umekuja kuwa takataka. Mwendazake ni Raisi hovyo kuwahi kutokea. Kama vip mfuate kule kaburini ukamfufue aendelee kuwa raisi wako.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Well said , kitu nilichomis kutoka kwa magufuli ni msimamo wake , tulikua tuna feel safe sana kwenye uongozi wake, alikua kama Baba akisema kasema, viongozi walikua wanapiga kaZi, watu walipunguzwa kuonewa.

Mbaya sana kuwa na raisi ambaye haeleweki, wananchi tunajawa hofu , ila kiongozi akisimama makini hata wananchi hofu huondoke, kama ilivyokua kipindi cha korona, magu alionyesha msimamo mkali sana kama raisi , na kama mwanaume na kama kiongozi, apumzike kwa amani
Muda mwingine unakuwaga na points ukiachana na zile habar za udaku
 
Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.

Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.

Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
We maku tuondolee uharo wako huku!!....
 
Nadhani baada ya siku 100,unaweza kujadili tofauti wa viongozi hawa.......kwasasa ni kuisumbua akili tu
 
Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.

Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.

Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Umenena vyema MKUU.
 
Bado uenyekiti wa ccm. Atakapopewa SASHA ndo utajua rangi yake. Sasa hivi bado kama ni kisu kapewa kisicho na mpini na somehow butu.
 
Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.

Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.

Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.
Mama samia 10 tena
 
Akiwapandisha mishahara watumishi wake ndio nitaandika page 5 za utofauti wao.
 
Mama samia anahitaji muda usiopungua Siku 100 kumpima.
By the way both Magufuli and Samia are politician
 
That’s a how a leader should be , ni watu wachache sana wenye leadership skills za magufuli, mpaka nilikua najiuliza huyu Baba anajiamin nini kuwatunishia had wazungu wakati alikua mtoto wa mkulima tu, Yan tumepoteza mtu Makini sana Tanzania , tumerud kwenye uongozi wa kikwete
Unataka kusema Kikwete sio kiongozi mzuri?
Hakujenga shule?
Hakujenga Barbara?
Hakusambaza Maji kwa wananchi?
Hakusambaza Umeme kwa wananchi?
Hakuboresha hospitals?
Madaraja hayakujengwa?
Mishahara haikuongezwa?
Mfumuko wa bei haukudhibitiwa?
Na mengine mazuri mengi aliyoyafanya wewe huyajui?
Waswahili walisema ukipata chungu kipya.........
 
Well said , kitu nilichomis kutoka kwa magufuli ni msimamo wake , tulikua tuna feel safe sana kwenye uongozi wake, alikua kama Baba akisema kasema, viongozi walikua wanapiga kaZi, watu walipunguzwa kuonewa.

Mbaya sana kuwa na raisi ambaye haeleweki, wananchi tunajawa hofu , ila kiongozi akisimama makini hata wananchi hofu huondoke, kama ilivyokua kipindi cha korona, magu alionyesha msimamo mkali sana kama raisi , na kama mwanaume na kama kiongozi, apumzike kwa amani
Kwani kuna viongozi hawaendi kazini katika utawala huu wa president SSH?kuhusu kuwa na msimamo ni kweli alikuwa na msimamo,lakini je ulikuwa ni msimamo sahihi?
 
Back
Top Bottom