Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,411
- 11,061
Huyu mwanadada enzi za Hayati Magufuli alikuwa na nguvu ya kiti chake cha uwaziri ila sasa hivi yupo kama picha tu.
Ummy ajue hio changamoto ya NHIF sio mkurupuko, ajitathmini anything to do with bima ya afya iko chini ya uwezo wake, sio external issue.
It's something that has been hotting up for years, pending bills na excess freedom kwa hizo hospital kucharge bills kichawi mmelea nyie wenyewe serikali hasa hao mabwanyenye ndani ya serikali wataka 10% na wenye hisia zao huko.
Kofia ya mtu binafsi na kofia ya mtumishi wa umma na kubanwa na misingi hio ni kama haipo.
Serikali iko too local and insane kwenye ishu za msingi, people in govt are busy building their homestead badala ya mambo mtambuka ya kiserikali.
Hii hybrid ovu ya ubepari na ujamaa Tanzania imeshindwa. Ni ujinga serikali kutokuwa makini na ishu zinaharibu misingi ya utu ubinadamu na upendo na kusimamia uhai wa watu.
Public welfare ni automatic and fundamental priority acheni ushetani usio na maana work for the community, work for the public interests.
Ni hayo tu