Haya ni kwa wachache waliotunza afya zao vizuri na waliobahatika kutokuwa na magonjwa ya kurithi.You are not serious, at 73 nowadays bado upo katika ajira ya pili maana ya kwanza (kama ulikuwa serikalini) ilikatika ukiwa 65. Kama ni biashara bado unaisimamia hata kulima
Utaelewa tu mapengo yakianza kutamalaki kinywani..ππNini sasa...
Huu ni usemi wa wazungu. Ukifika miaka 40 unakuwa na uzoefu wa maisha unaokusaidia kufika 50, 60, 70, 80 hata 90 kirahisi.Hivi kwanini imekuwa ikisemwa kuwa
βlife start at 40β
Je hii inaukweli?
Kama jibu ni ndiyo Je ni kwa kiasi gani?
Au ni mitazamo ya watu tu?
Kwenda zakoUtaelewa tu mapengo yakianza kutamalaki kinywani..
Na kurasa piaKila hatua ya maisha na kitabu chake...
πππππ Mi nakwenda ila wajukuu zako wanalo la kuniwakilishia..Kwenda zako