Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
- Thread starter
- #21
Huyo dada kafuata vitu hapo, hajamfuta mtu,
Vikisha hivyo vitu, atatafuata mtu,
Huyo dada anapenda mali, hapendi mtu!
Namhurumia kuwa atakuja kuwa mjane mapema na kupenda kwake vitu, vitamtokea puani hapo wenye vitu (watoto alozaa pembeni ) watakapokuja kudai vitu vyao.
Pretty wala usijidanganyike kirahisi kuwa huyo baba hajawahi kuoa katika umri huo! KAma ni wewe basi fikiria mara 50 dada yangu.[/QUOTE]
Hajawahi kuoa wala hana watoto. Amemchunguza vya kutosha.