tofauti ya miaka 25 kati ya wanandoa ni sawa?

tofauti ya miaka 25 kati ya wanandoa ni sawa?

Kama mjamaa yuko 50 na hajapata kudoo anatia mashaka.

..Pretty hajaandika hivyo.

La kama ameshawahi kudoo na wengine ila huyu hapana ni mpaka baada ya ndo pia inatia mashaka.

...kwanini?

Na huyo mtoto ni mdogo mno kumu-influence.

...kama unaona miaka 25 ni mtoto, basi jamaa wa 50yrs ni kijana.

Aende akijua anajiingiza jela, maana hapo sitegemei usawa kwenye mapenzi kati yao. There is a parent/child relationship, mapenzi hayawezi kuwa ya kweli tuseme ukweli.

...ki vipi?
 
teh teh teh teh !
shori damu inachemka anataka mapigo ya kimandingo atakubalije aolewe na babake mzazi......lazima kutakuwa na kitu anafukuzia na najua huyo shori atakuwa majuu tu.....
 
Arrg makaratasi hayo......
Wala sio makaratasi, mwanaume yupo bongo msichana yupo Ughaibuni anasoma, hivyo akimaliza skul yake binti ndio anategemea kuolewa.
Jamani sio kila anayetaka kuolewa na mtu mzima ni makaratasi, wengine wana mapenzi ya kweli. Mzee anajua kulea.
 
Interesting!

Kuna busara gani kwenye hizo namba? Are ther any scientific/social reasons?

m/2 +7=f therefore, m=(f-7) x 2 where f and m stands for the age of female and male candidates respectively.

Just curious!
Hii "rule" inaendelea kuboreshwa.


The "half-your-age-plus-seven" rule

The "half-your-age-plus-seven rule" is a rule of thumb in Western cultures defining a mathematical formula to judge whether the age difference in an intimate relationship is socially acceptable.[4][5][6][7][8] Mathematically speaking, the rule is:

d0e195c88a12aa6fa5cf6f3ba0606868.png


As would be expected with such an arbitrary cultural 'rule', there are variations such as "half-plus-nine".[9]




Age disparity in sexual relationships
 
Back
Top Bottom