Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,580
- 81,535
Hahaha asee sijacheka kisa jibu bali jinsi ulivyoenda nae sawa kwenye R na L [emoji81][emoji81]Yes rakini zaidi ya segelea
Hahaha asee sijacheka kisa jibu bali jinsi ulivyoenda nae sawa kwenye R na L [emoji81][emoji81]Yes rakini zaidi ya segelea
Sirari usingizi hakuna. Naumwa insomnia.[emoji86][emoji86][emoji15][emoji15][emoji115][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]hurari wewe?
Ningekuwa naogopa kufa ningeshakufaga siku nyingi maana 'zilairi' kaniita 'mala' kibao nimemgomeaNajua unaogopa kufa... Mida ya ziraili hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni kwikwi, nimeshachungulia milango ya kuzimu mara kibao ila nagoma kuingia.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji115][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Wapiga pesa waleNi kweli kabisa wanaishia tu getini na kuchungulia ndani...hawaingii huko...hata wale manabii na mitume wanaojifanya wamefika huko ni geresha tuu
Ila wa mwisho itakula kwake maana hakutakuwepo na wa kumwombea.Mie hizo dini zinazowafanyia ibada za wafu watu ili waende peponi najiuliza kwa hali hio kuna atakae enda huko motoni kweli?? Kuna dini zingine raha kweli yan kwa mujibu wa hvyo vitabu vyao wanavyovitumia vinavyowapa maelekezo hayo yaan kama ndo mie natwanga dhambi za kutosha hata siku nkifa najua nkifanyiwa ibada naenda zangu peponii[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa ndo dini zina nichanganya kabisa Uislam unasema MTU anapofariki basi kama ni wa Motoni anaanza kupata adhabu za Kabrini au kama ni mwema Ataanza stareheshwa .. Ukija kwa Budda wanao yao Mengine...
Hivi kwanini Tuna patishwa tabu na hizi dini hivi