Tofauti ya jehanum na kuzimu

Tofauti ya jehanum na kuzimu

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15][emoji15][emoji1540][emoji1562][emoji1562][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sawa! umezungumzia kuhusu kuzimu na jehanum ambapo hizi sehemu zinawahusu wale waliokuwa wakitenda dhambi wakiwa duniani, je kwa wale ambao watakufa wakiwa swafii ndio tuwaite watakatifu sijui au wasio tenda dhambi! wenyewe step ya kwanza wanafikia wapi na wapi?
 
Kuzimu ni mahali pa wote ,wema na wabaya....ndio maana hata Yesu Kristo alikufa kisha akashuka kuzimu...
 
Mkuu huwa unagusa deep sana hasa kwenye uzi kama huu maana nilikuwa nishayasahu mambo ya Jehanam mm ila nahisi kuanza kurudi njia kuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1545]barikiwa zaidi na neno hili
 
yaan ukiwa na yesu kristo moyon mwako huwez ogopa izo story za mshana Jr yaan inasikia raha San lakin tunaogopa sababu wote tumejawa na dhambi atupo safi kiroho ndugu yangu jaribu kuja kwa yesu utapata raha San
Ntakuja mkuu, nialike nije kanisa gani maana siku hizi mtu hata hujui uende wapi
 
yaan ukiwa na yesu kristo moyon mwako huwez ogopa izo story za mshana Jr yaan inasikia raha San lakin tunaogopa sababu wote tumejawa na dhambi atupo safi kiroho ndugu yangu jaribu kuja kwa yesu utapata raha San
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kibiblia unakosea sana mkuu kuzimu ndio jehanum ya moto... Ni mangojeo tu ya wafu waliokufa bila kutubia dhambi zao huku huteswa mchana na usiku wakisubiri siku ya hukumu na hapo ndipo watakapotupwa katika ziwa la moto iyo ndio mwisho soma ufunuo 19
 
Karudie kusoma Bible yako, kuzimu ni kaburini na hakuna adhabu yoyote...wema na wabaya wako kuzimu wakisubiri hukumu siku ya kiama...kuzimu kungekuwa kwa tafsiri yako Kristo asingekufa na kushuka huko
 
Hii haitokua fair kwa wale mababu zetu walioishi zama za kalw. Mimi naamini ukifa unakua kwenye usingizi mxito ukingoja hukumu siku ya mwisho.
Heri wale wafao katika Bwana.....
Hapa ndo dini zina nichanganya kabisa Uislam unasema MTU anapofariki basi kama ni wa Motoni anaanza kupata adhabu za Kabrini au kama ni mwema Ataanza stareheshwa .. Ukija kwa Budda wanao yao Mengine...
Hivi kwanini Tuna patishwa tabu na hizi dini hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom