Tofauti ya jehanum na kuzimu

Tofauti ya jehanum na kuzimu

Hapa ndo dini zina nichanganya kabisa Uislam unasema MTU anapofariki basi kama ni wa Motoni anaanza kupata adhabu za Kabrini au kama ni mwema Ataanza stareheshwa .. Ukija kwa Budda wanao yao Mengine...
Hivi kwanini Tuna patishwa tabu na hizi dini hivi
Msomi na mhakiki wa mambo,huwa hana sifa ya kukata tamaa,
Ufungue moyo wako,kisha pambana katika kutafuta ukweli,na wala usiwe miongoni mwa wale wenye majibu yao mfukoni,huku wakijidai kusaka majibu!!!!

tusome ndg,ukweli upo,na hudhihiri kwa watu wachache sana,wenye sifa ya kuutaka ukweli huo
 
Maisha ya mwanaadam baada ya kufa,ni kweli lazima apitie kaburi kisha afufuliwe na kuhukumiwa
Imma Peponi(kama alikuwa mwema) au Motoni(Kama alikuwa muovu)

Ila kaburi,Huwa ni Bustani katika mabustani ya Pepo,kwa yule mwema
au ni Shimo katika mashimo ya Moto wa Jahannam
Utangulizi anaupatia pale kaburini kwake,
ndio maana husema
Mwenye akili,ni yule mwenye kuliandaa kaburi lake,akiwa Duniani
Na mwenye kusahau/kuzembea kufanya maandalizi,Basi atapata tabu sana

NB:Ni mtazamo upande wa Uislam

Shukran Chief Mshana Jr
Barikiwa sana
 
Inakuwaje wafu waliokufa zamani sana zaidi ya miaka elf5 iliyopita??
Je sie tunaokufa leo au kesho kiuhalisia hatuwez kufanana nao...
Je hii inapimwaje walioishi kuzimu miaka kenda na tulioenda kuzimu leo hakuna huruma hapo
5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mhubiri 9 :5
 
Inakuwaje wafu waliokufa zamani sana zaidi ya miaka elf5 iliyopita??
Je sie tunaokufa leo au kesho kiuhalisia hatuwez kufanana nao...
Je hii inapimwaje walioishi kuzimu miaka kenda na tulioenda kuzimu leo hakuna huruma hapo
Aliye kufa miaka 6000 amelala pumziko hajui neno lolote
 
Maisha ya mwanaadam baada ya kufa,ni kweli lazima apitie kaburi kisha afufuliwe na kuhukumiwa
Imma Peponi(kama alikuwa mwema) au Motoni(Kama alikuwa muovu)

Ila kaburi,Huwa ni Bustani katika mabustani ya Pepo,kwa yule mwema
au ni Shimo katika mashimo ya Moto wa Jahannam
Utangulizi anaupatia pale kaburini kwake,
ndio maana husema
Mwenye akili,ni yule mwenye kuliandaa kaburi lake,akiwa Duniani
Na mwenye kusahau/kuzembea kufanya maandalizi,Basi atapata tabu sana

NB:Ni mtazamo upande wa Uislam

Shukran Chief Mshana Jr
Barikiwa sana
Asante pia nimeongeza maarifa ya upande wa pili pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Umejiandaa kuimbiwa nyimbo ya parapanda na watu wale ubwabwa?
 
Hapa ndo dini zina nichanganya kabisa Uislam unasema MTU anapofariki basi kama ni wa Motoni anaanza kupata adhabu za Kabrini au kama ni mwema Ataanza stareheshwa .. Ukija kwa Budda wanao yao Mengine...
Hivi kwanini Tuna patishwa tabu na hizi dini hivi
Hakuna jehanam wala pepo
 
mkuu haya maelezo yako sipingani nayo nakubaliana nayo asilimia 100
kuna mtumishi aliwahi toa maelezo exactly kama hayo
LAKINI YEYE ALISEMA HIVI ... KUZIMU ZIPO MBILI
KUNA KUZIMU YA IBILISI (KAMA WEWE ULIKUA MTENDA DHAMBI HAPA)
UKIFA UNAENDA KUKUTANA NA NDUGU YAKO ULIEKUA UNAMFANYIA
KAZI. HAPO PIA KUNA MATESO MAKALI SANA LAKINI HAYA NI MATESO
UNAYOPEWA NA IBILISI NA MALAIKA ZAKE .. HAPA NI KABLA
HUJAENDA JEHANAMU AMBAKO KULIANDALIWA MAALUMU
KWAAJILI YA IBILISI . IBILIS MWENYEWE YUPO KUZIMU HUKO
AKISUBIRI KWENDA JEHANAMU KWENYE ZIWA LA MOTO

NADHANI WANAPOSEMAGA MTU APUNGUZIWE ADHABU YA KABURI
NDO INAWAHUSU HAWA NDUGU. (SIJUI SINA UHAKIKA)

KUZIMU NYINGINE NI YA WALIOTUBU NA KUSAMEHEWA KABLA HAWAJAFA.
HAWA WANASTAREHE HUKO WALIPO (IMANI) WANASUBIRI HUKUMU
ILI WAENDE WANAKOSTAHILI

HILI SWALA LIPO KWENYE BIBLIA NIMESAHAU TU MISTARI

NA MUNGU AWABARIKI SANA
 
Sawa lakini kuzimu bado sio jehanum...na kimsingi alitimiza unabii kuwa kuzimu kunaweza kutoteka na kwenye kituo cha wasubirio mashauri yao siku ya kiama
Ni kwamba kuzimu ni kama rokapu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom