Tofauti ya jehanum na kuzimu

Tofauti ya jehanum na kuzimu

Sio funguo za kuzimu,alikwenda kuchukua funguo za mamlaka ambayo shetani alikuwa nayo,ata katika zile siku arobaini zakufunga kwake shetani alimjaribu kwa kumuonyesha fahari yote ya Dunia nakumwambia iko chini yake. nakutaka asujudiwe ili amkabidhi hiyo mamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote mko sahihi ....lakini ulichofanya wewe ni kuongezea nyama ama ni kufafanua zaidi
 
Najua unaogopa kufa... Mida ya ziraili hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mshana: dhana ya Israel mtoa roho inakujaje wakati mtu unapokufa??

Swali langu liko hapa zaidi. Je? Yesu wakati anakata roho msalabani ni huyu Israel mtoa roho tunayeambiwa ndiye aliemtoa Yesu roho??
 
Hapana kifo cha Masiha kilikuwa unabii kwahiyo kila kitu kilifanyika ili unabii utimie,..kuna baadhi wanasema ni ziraili huyo huyo mtoa roho ndio alifanya kazi yake..kwakuwa Kristo alikuwa kwenye mwili wa nyama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom