Tofauti ya jehanum na kuzimu

Tofauti ya jehanum na kuzimu

Duh!
Mkuu vipi, umedukuliwa au ndo umestaafu rasmi ulozi
 
Wafu hawajui kitu na wala hawana utambuzi juu ya ufu wao
Naunga mkono hoja yako mkuu kwenye Biblia kitabu kile cha Mhubiri kimeeleza na pia kimetuambia tukiwa hai tufanye lolote mkono utakalopata lifanye kwa nguvu zako zote maana huko kuzimu hamna kazi wala shauri.. Mhubiri 9.5 - 10
 
Mshana Jr, kwa kumbukumbu zangu ni kwamba sababu ya yesu kushuka kuzimu ni kwenda kuchukua funguo za kuzimu.
Kuzimu ni mahali pa wote ,wema na wabaya....ndio maana hata Yesu Kristo alikufa kisha akashuka kuzimu...
 
Mshana Jr, kwa kumbukumbu zangu ni kwamba sababu ya yesu kushuka kuzimu ni kwenda kuchukua funguo za kuzimu.
Sawa lakini kuzimu bado sio jehanum...na kimsingi alitimiza unabii kuwa kuzimu kunaweza kutoteka na kwenye kituo cha wasubirio mashauri yao siku ya kiama
 
Ni kweli kuzimu sio jehamu. vp lakini naona kuna story nyingi kwamba wachawi huwa wanaenda kuzimuni na hata kuwaatambua watu waliokuwa kule, japo hawaingii huko, eti wanakaa kama mpakani sasa sijui2haya madai yao yana ukweli kiasi gani.

Ni kweli kabisa wanaishia tu getini na kuchungulia ndani...hawaingii huko...hata wale manabii na mitume wanaojifanya wamefika huko ni geresha tuu
 
Inakuwaje wafu waliokufa zamani sana zaidi ya miaka elf5 iliyopita??
Je sie tunaokufa leo au kesho kiuhalisia hatuwez kufanana nao...
Je hii inapimwaje walioishi kuzimu miaka kenda na tulioenda kuzimu leo hakuna huruma hapo
Time is relative
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom