Tofauti ya Inbox za wasichana na wavulana

Tofauti ya Inbox za wasichana na wavulana

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,710
Reaction score
167,715
INBOX SMS ZA MSICHANA KWENYE SIMU

Frank: I love u gal.
M pesa: You have received 15,000 kutoka kwa John
Tesha.
Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo.
100: Umepokea muda wa maongezi wa shilingi 2,000.
Juma: I miss u baby gal.
Joseph: Baby enter 76039743803546 then 2chat.
M pesa: Umepokea kiasi cha shilingi 30,000 kutoka kwa
Juma hussein salio lako la Mpesa ni 51,500.
Victor: Gudnyt Sweetie.

MEN'S INBOX
Tinah: Nitumie eflu1 plzzz!
Tigo: Salio la akaunti yako halitoshi kupiga simu
tafadhali ongeza pesa ili uendelee kufurahia huduma
zetu.
Jack: Jamani kama upo town ukija chuo ninunulie chipsi
na mishkaki mi5.
Tigo: Umefanikiwa kulipa deni lako lote la shilingi 1,900
salio lako ni Shilingi 100.
Landlord: Nimechoka kukufuatilia bwana lipa kodi ama
niweke kufuli...!
Angel: I missed my period.
Paul: Lile deni langu niaje?
 
ah! lakini hawa wavulana wa mjini na wasichana wao, sisi wa vijijini (washamba) tunayasikia tu! kila kitu tunamalizia kwenye ngoma!
 
Jack: Jamani kama upo town ukija chuo ninunulie chipsi
na mishkaki mi5.

hako ka jamani ni ka kubembeleza usiache kumletea
 
nini 10,000 hata mkisema tuwape 100,000 tuweke kwenye simu zenu kwani tunajali siye ilmradi mtupende kwa upendo wa dhati usiona unafiki tu
pendekezeni kwny tozo ya sim card tulipe 10,000/ per month
 
Hahahahahaaa wana mind mnavyowasema hivi lakini tatizo hawaachi.....
 
Hayo ni maua yetu, Yapo kwa ajili yetu. Lazima tuyamwagilie ili ya chanue VYEMA.

Hakuna kuchunwa wala nini, ni sehemu ya matumizi tu.
 
Ebwanae umetisha, hii experience umepata wapi? Mana naona kama umetoka kwenye inbox yangu!
 
Back
Top Bottom