Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
​mtakula kwa jasho hahaaaaaa!!
Na kwa uchungu mtazaa
​mtakula kwa jasho hahaaaaaa!!
Na kwa uchungu mtazaa
napenda sana wanaume wanaojua majukumu yao huombi kakupa siyo wengine akitoa kibuku kumi anajionaaaaaaa katoa hatoi mpaka umuombe.Hayo ni maua yetu, Yapo kwa ajili yetu. Lazima tuyamwagilie ili ya chanue VYEMA.
Hakuna kuchunwa wala nini, ni sehemu ya matumizi tu.
napenda sana wanaume wanaojua majukumu yao huombi kakupa siyo wengine akitoa kibuku kumi anajionaaaaaaa katoa hatoi mpaka umuombe.
Aaaaaa mi nakasirikaga sana
poleeeeeeeeeeeeeeeee wewe kama mkono wako wa birika.Na ukimwi pia uupende...