INAUZWA Nauza LG Home theater Na Mr Uk Subwoofer og

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,029
Mali bado mpyaa zina mabox yake na documents zake hakuna ujanja janja, sababu za kuuza ni matatizo yanayohitaji hela ya haraka

Home theater Og ya LG WATS 1000

Ina spika 4 na mja ndogo mziki mnene kabisa

Bei ya dukani 700,000

Nauza 580,000 tu

Subwoofer ya Mr uk nilinunua 130,000 mpya dukani

Nauza 90 tu sabufa

1756897929.jpg


Kesho ntawapostia kakiwanja kangu pia hali si hali

0678096545

1373592287.jpg
2035366284.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom