1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake
2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani
3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.
4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli
5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi waziri mipango na katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.
6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara