Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake
2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani
3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.
4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli
5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi waziri mipango na katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.
6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Aliivimbia corona hadi imemnyakua
 
Nilisema suala la mahindi ni vita ya kiuchumi baadhi yenu hamkuelewa. Nilisema madai ya Wakenya kwamba mahindi yetu yana sumu kuvu (mycotoxins) ni batili kwa sababu tumewalisha kwa miaka 60 na hawakuona sumu iweje waone leo? Nikashauri tusipanic bali tukae ili tusolve kidiplomasia sio kibabe. Lakini MATAGA wakajaa mapovu na kusema hata tusipouza Kenya tutauza Rwanda na Burundi.

Nikacheka sana. Rwanda na Burundi wanaingiza tani 45K za mahindi kwa mwaka. Lakini Kenya inaingiza tani 400K. Maana yake ni kwamba mahindi ambayo tungewauzia Kenya kwa mwaka mmoja, tutawauzia Rwanda na Burundi kwa miaka 10. Sasa hii ni biashara au utopolo?

Ni kweli tumebarikiwa ardhi nzuri kwa mazao ya chakula lakini hii 'arrogancy' ya kuamini fulani akisusa tutauzia wengine, ndio imetugharimu. Zaidi ya miezi miwili wafanyabiashara wa mahindi hawajui wapeleke wapi mahindi yao baada Kenya kuzira. Serikali ya mwendazake iliyowaambia watauza popote, haikuwatafutia soko mbadala. So sad.!

Na hiki ndicho kilichotokea pia kwenye mbaazi. Wakati Manji ananunua mbaazi TZS 3,000/= kwa kilo serikali ikaanza kumsumbua. Watu wakasema Manji akisumbuliwa mbaazi zitakosa soko. Serikali ikajibu kwa kiburi kwamba asiponunua wao watanunua.

Lakini Manji alipoacha kununua mbaazi zilipoteza soko hadi 150/= kwa kilo kutoka 3,000/=. Serikali ileile iliyodai itanunua ikawaambia watu wale mbaazi kwa wingi maana zinaongeza protini. Hivi mtu ana gunia 200 anakulaje zote? Non sense.!

Kwenye mahindi tulikua tunaelekea hukohuko. Tulijisifu tutauzia Rwanda, Burundi, Somalia na Sudani lakini zaidi ya miezi miwili sasa tumeshindwa kuuza hata hapo Kibaha maili moja. Porojo za MATAGA kwamba wakenya wananunua mahindi kwetu halafu wanayauza Sudani, mbona sisi tumeshindwa kuuza huko Sudani?

Wenye akili walishauri tukae mezani tuyajenge. Vita ya kiuchumi "husoviwa" kidiplomasia sio kijeshi. Lakini mwendazake akagoma. Alishika nyundo na kuamini kila tatizo ni msumari, kwahiyo akawa anagonga tu.

Mama amefanya kile ambacho wenye akili walimshauri mwendazake lakini akawaita vibaraka. Mama amekaa na Uhuru wamezungumza yameisha. Leo Rais Uhuru karuhusu mahindi kutoka TZ yaendelee kuingia Kenya. Hakuna cha "mycotoxins" wala nini. Hii ni habari njema kwa wafanyabiashara wa mahindi pale Kibaigwa, hadi wakulima wa kule Peramiho.

Pia ni habari njema kwa taifa kwa sababu Kenya wametusafisha. Dunia imegundua kumbe mahindi yetu hayakua na sumu (mycotoxins) kama Wakenya walivyodai bali ilikua vita vya kiuchumi tu.

Wakenya wakiendelea kununua mahindi yetu hata nchi nyingine zitanunua kwa sababu sasa zimejiridhisha kwamba mahindi yetu hayana sumu. Aliyetoa tuhuma ndiye huyohuyo amesema yaingizwe nchini kwake waendelee kuyala. Yangekua na sumu asingeruhusu yaingizwe.

Hii ndio nguvu ya diplomasia. Mnakaa mezani kuzungumza halafu mshindani wako anajimaliza mwenyewe. Tulitumia nguvu nyingi kujisafisha kimataifa kwamba mahindi yetu hayana sumu lakini hakuna aliyetuamini. Leo mama kakaa na Uhuru masaa machache tu, kisha akampa kamba ajimalize mwenyewe. Uhuru akatusafisha, sasa tumeng'aa. Tunaweza kuuza mahindi yetu hata Marekani [emoji1].

Uhuru na Mama Samia wameruhusu pia mtu akishapimwa Covid upande mmoja akaonekana ni negative, basi akiingia upande wa pili asipimwe tena. Unakumbuka Wakenya walianza figisu. Madereva wetu wa malori, walipopimwa wakawa negative, walipoingia Kenya walipimwa tena na kukutwa positive. Ikaleta taharuki.

Mwendazake akaona dawa ni kuapply jino kwa jino. Madereva wao walipokuja na vyeti vya negative tukawapima tena na wakawa positive. Yani ushindani wa kitoto kabisa.

Watu wakashauri Bwana Kabudi akae mezani na mwenzake wa Kenya wayazungumze. Lakini akakodoa macho kwa tashwishwi na kusema hatutishwi na mataifa yanayotumiwa na mabeberu.

Leo mama na Uhuru wameamua kumaliza hizo drama za kitoto. Hakuna haja ya kuishi kwa kuviziana wakati sisi ni ndugu. Wamekubaliana dereva akipimwa TZ akiingia Kenya asipimwe tena, na akipimwa Kenya akiingia TZ asipimwe tena. Hii ndio maana ya ujirani mwema. Kuishi kwa kuaminiana bila speculations.

Asante mama Samia, Asante Uhuru. Demokrasia imekutana na demokrasia.!

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kweli mwendazake alikuwa mzigo kwa Taifa kuliko mizigo yenyewe.
 
tukipanga uongo wa hayati unaweza kutoka Mtwara mpaka Bujumbura.
Aaahhaaa hakika tutafululiza hadi huko Brazaville lakini hatutaumaliza....oooh tembea kifua mbele uchumi wetu unakua kasi... leo mkuu hana hata miezi miwili ametangulia mbele ya haki tunaambiwa ukweli kuwa uchumi umeshuka kwa asilimia sijui ngapi huko.......
 
Yule mtu alikuwa hashauriki....na alijiona anajua Kila kitu...
 
Hoja zuri sana. Wajua Kenya na TZ zina history kutoka zamani. Ndio sababu huwa hakuna emotions kali kali kati ya 254 na UG. Hawana historia kubwa. Nadhani UG ina historia na Rwanda, DRC, Burundi. Na ndio sababu hawakosi kuingiliana na mambo ya rebels. That will not end soon.

TZ and Kenya share a lot. Language for example. As a Kenyan you can venture anywhere in TZ and communicate effectively. Looks like both were one country zamani za kale. Ni kama vile India and Pakistan. Zanzibar, mombasa island, lamu, Comoros islands were one no doubt. Look at the culture and the language!

That aside, i was shocked to see TZ has actually matched Kenya on the import math between the two countries. That is a good thing, and which makes Mango833 argument very futuristic. If we maintain that kind of trajectory, Kenya will need TZ more than the we need them.

Suluhu will take TZ far. Hayo tu!
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake
2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani
3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.
4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli
5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi waziri mipango na katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.
6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Acha kuleta utopolo wako hapa
 
Ivi hakuna wana JF ambao wanao comment wale walinzi wa mama ? Kuna mlinzi mmoja wa.mama naona yupo fasta sanaa ni yule dada slim body kidogo nyama nyama pia anazo ..sijui ana ruka karate yule.
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake
2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani
3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.
4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli
5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi waziri mipango na katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.
6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Leo mtawika sana.

Sijui kama kuwika huku ni ishara ya usiku kuwa mchana, au kinyume chake.

Huu unaweza kuwa mwanzo wa kuikomboa Tanzania, once and for all!

Nchi hii haiwezi kuchezewa. Tunayo historia makini ya kujivunia. Hatuwezi kufanywa vibaraka na nchi yoyote.
 
Hizo ni siasa za kuwanyamazisha akina Msukuma.
Utendaji wa mama umetofautiana kwa mbali sana na mwendazake.
Inaonyesha wazi kwamba mama alikuwa anaumia sana ndani kwa ndani.

Kinachoshangaza kidogo ni kukosa subira kwake, huu ndio utakaokuwa mtego mkubwa kwake. Ajihadhali, atanasa bila kujitambua.
 
Back
Top Bottom