Tofauti niliyoiona ya DC na AC

Tofauti niliyoiona ya DC na AC

Bt nn hufanya current ya dc kupungua inaposafr mbal?
 
Bt nn hufanya current ya dc kupungua inaposafr mbal?
Dc inapungua power inaposafiri mbali kwa sababu Ya resistance kubwa katika Waya .Resistance hii inaletwa na uwepo wa current kubwa tofaut na AC ambayo tunaweza punnguza current na kukuza voltage hapo hata resistance itakuwa ndogo na kupelekea line Losses kupungua sambamba na ukubwa wa cable kuwa na cross section area ndogo
 
[emoji15] ehee nayo huletwa na nn

Kwa njia ya msingi kabisa... 🙂
Basic Voltage Drop Law
Vdrop = IR

where:
I : the current through the object, measured in amperes
R : the resistance of the wires, measured in ohms

And Resistance of a wire

u9l3b1.gif

where L represents the length of the wire (in meters), A represents the cross-sectional area of the wire (in meters2), and
redbdrho.gif
represents the resistivity of the material,

Hivyo utaona kadiri urefu (L) unavyokuwa mkubwa na unene wa wire unavyokuwa mdogo ndivyo resistance inaongezeka na kiasi cha voltage inayopotea (Vdrop) inazidi .
Kuhusu power loss kwenye wire unaweza kuipata hapa 🙂

How to calculate voltage drop over and power loss in wires
 
Wakuu salama nimeona huu uzi umenifunza mengi sana Ila na mm nina tatizo moja.

Source yangu ya umeme inatoka kwenye circuit breaker ya 400A 4pole inapeleka kwenye change over yenye contactor za 700A wakati full load yangu ni 280A
Pia nina standby generator 200kva 330A nimeifunga circuit breaker ya Abb 400A 4pole
Sasa tatizo ni kwamba breaker ya main ina trip yenyewe hali hamna short circuit yoyote na iki trip nikija kuwasha inafanya kazi vizuri tu hata wiki tatu nne
Tatizo hili pia linatokea kwenye breaker ya generator
Na setting za tripping kwenye za hizi circuit breakers
zipo 80%.. .
Pia tatizo lingine ni kuwa phase no 1 ina over heat sana hadi imesha ua finger za contactor moja ya generator
Pia phase no 1 ya main nayenyewe hvyo hvyo ina heat
Karibu nayo inaua finger
Nilithani tatizo ni ubalance phase lakini mbona pakiwa na full load ina kuwa hv
Red 280A
Yellow 260A
Blue 270A
Sasa swali langu.....
1) Nini kinaua contactor!!? Kama ni unbalanced phase kwanini finger za contactor ya 700A zife kwa load ya 280A!!?
2) Nini kina sababisha hizi circuit breakers ku trip
Wakati nikipima HAKUNA short circuit yoyote?
Na pia nini kina sababisha tatizo hili kukaa hata mwezi mzima ndio litokeee tena? Au pia lina weza kutokea hata baada ya siku tatu...

Naombeni sana msaada weenu wakuu
Natanguliza shukrani.
Mushi92
Kapwila Matulu
 
Pole kwa tatizo mkuu, Na wasi na hio ampcity ya contactor yako pengine ni Sio 700A inaweza ni aina gani ya contactor mana zimezagaa sana fake afu hio Breaker ya Generator kutrip ni kwa ajili ya voltage fluctuations mabadiliko mabadiliko yani mostly umeme wa Ac haujatulia ukizingatia Genset labda haipigwi service hivo inaleta mabadiliko ya kiwango cha umeme na kusababisha Tripping Tafuta stabilizer kwa ajili yq kutengeneza stability ya huo umeme unaofuliwa na Genset, Kingine hio braker ya main Hebu icheki nayo kama kweli 400Amps correct afu hizi Current standard ulizotaja ni kubwa sana per phase umetumia kifaa kipu kudetermine, Then hio standby Gen mmetumia change over ipi kuinstall?
 
Pole kwa tatizo mkuu, Na wasi na hio ampcity ya contactor yako pengine ni Sio 700A inaweza ni aina gani ya contactor mana zimezagaa sana fake afu hio Breaker ya Generator kutrip ni kwa ajili ya voltage fluctuations mabadiliko mabadiliko yani mostly umeme wa Ac haujatulia ukizingatia Genset labda haipigwi service hivo inaleta mabadiliko ya kiwango cha umeme na kusababisha Tripping Tafuta stabilizer kwa ajili yq kutengeneza stability ya huo umeme unaofuliwa na Genset, Kingine hio braker ya main Hebu icheki nayo kama kweli 400Amps correct afu hizi Current standard ulizotaja ni kubwa sana per phase umetumia kifaa kipu kudetermine, Then hio standby Gen mmetumia change over ipi kuinstall?[/QUOTE

Asante mkuu kwa ushauri wako nitaufanya kazi
Hizi Current Nime zipata kwa kupima kila phase kwa kutumia clamp meter
Change over tumetumia contactor za snchineider 700A 4pole
 
Kwa njia ya msingi kabisa... 🙂
Basic Voltage Drop Law
Vdrop = IR

where:
I : the current through the object, measured in amperes
R : the resistance of the wires, measured in ohms

And Resistance of a wire

u9l3b1.gif

where L represents the length of the wire (in meters), A represents the cross-sectional area of the wire (in meters2), and
redbdrho.gif
represents the resistivity of the material,

Hivyo utaona kadiri urefu (L) unavyokuwa mkubwa na unene wa wire unavyokuwa mdogo ndivyo resistance inaongezeka na kiasi cha voltage inayopotea (Vdrop) inazidi .
Kuhusu power loss kwenye wire unaweza kuipata hapa 🙂

How to calculate voltage drop over and power loss in wires
Asante mkuu, umenirudisha darasani
 
Wakuu salaam.

Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla.

Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC ya picha ndo imeharibika. Nikatoa hela kununulia hio AC lkn ilipowekwa haikubadilika iko vile vile.

Ivi inaweza kuwa na tatizo gn? Huyu fundi anajua kazi yake kweli au anabahatisha tu?

Msaada wenu Plz. Na samahani kwa ku interrupt uzi wenu.
Dah.. Sister umecheki macho yako kama ni mazima? Isijekuwa una matatizo ya macho wewe ukadhani TV mbovu halafu ukapoteza pesa yako bure 😛
 
Dah.. Sister umecheki macho yako kama ni mazima? Isijekuwa una matatizo ya macho wewe ukadhani TV mbovu halafu ukapoteza pesa yako bure 😛
Acha utani. Basi nyumba nzima macho yetu yana matatizo.

Fundi TV imemshinda, hadi leo iko vile vile.
 
Samahani wadau natafuta notes za advance physics zote kabisa,Niko tayari kulipia ikibidi 0655881354 0765981354
 
Habari zenu mafundi , nimadhara gani naweza yapata punde nikitumia earth electrode moja kwa zaidi ya meter moja
 
Habari zenu mafundi , nimadhara gani naweza yapata punde nikitumia earth electrode moja kwa zaidi ya meter moja
mita zipo ngapi ?
hakikisha tu, waya wa earth unaotoka kwenye DB kwenda ardhini ni wa 4mm²,
na hiyo electrode iwe ya pure copper ( siyo brass )
 
Habari zenu mafundi , nimadhara gani naweza yapata punde nikitumia earth electrode moja kwa zaidi ya meter moja
Shukran sana Engineer Ang ila nakuomba uniambie kama utakuwa hujatumia iyo pure cooper na 4mm² nimadhara gani yanaweza jitokeza ili niwe naifahamu zaidi juu ya ilo nawala nisitimie kukalili tu mkuu japo samahani kwa ilo
 
Back
Top Bottom