Tofauti niliyoiona ya DC na AC

Tofauti niliyoiona ya DC na AC

Ongera kwa kujitahidi, kwa kifupi, 1.hakuna umeme unaoozesha waya, hizo ni waya feki 2. Ukubwa wa waya hutegemea kiasi cha mzigo na umbali. Hakuna transformer ya DC kama wachangiaji wengine walivyo sema.
Nop kuna yanya za alloy za copper ,aluminium pamoja na steel zikitumika kwenye DC curent ule waya wa chanya possitive unafanya ionization kutengeza kutu au metal oxide au carbonate ...ni SAWA AKISEMA DC INAOZESHA UMEME
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Wakuu salaam.

Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla.

Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC ya picha ndo imeharibika. Nikatoa hela kununulia hio AC lkn ilipowekwa haikubadilika iko vile vile.

Ivi inaweza kuwa na tatizo gn? Huyu fundi anajua kazi yake kweli au anabahatisha tu?

Msaada wenu Plz. Na samahani kwa ku interrupt uzi wenu.
 
Nimeuhamishia hapa... Msaada wa kiufundi wa TV
 
Wakuu salaam.

Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla.

Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC ya picha ndo imeharibika. Nikatoa hela kununulia hio AC lkn ilipowekwa haikubadilika iko vile vile.

Ivi inaweza kuwa na tatizo gn? Huyu fundi anajua kazi yake kweli au anabahatisha tu?

Msaada wenu Plz. Na samahani kwa ku interrupt uzi wenu.
Sema TV yenu sio yako, halafu ni TV ya chogo sio flat(joke).

Pole kwa tatizo la TV yako, kuwa makini na mafundi wa mitaani, wakikuharibia LG spea yake kuipata mbona utatamani ununue mpya tu.
 
Ni IC-Integrated circuit
 
Sema TV yenu sio yako, halafu ni TV ya chogo sio flat(joke).

Pole kwa tatizo la TV yako, kuwa makini na mafundi wa mitaani, wakikuharibia LG spea yake kuipata mbona utatamani ununue mpya tu.
TV yetu kweli. Mi na @ Mshana.

Ni kweli hata Mi naogopa mafundi wa mitaani lkn huyu nimeambiwa ni fundi dhamana.

Hapa tu mkuu zishanitoka elfu 90. Kama vp bora kununua mpya tu
 
Flat tv spea zake kuzipata ni mbinde, na ukizipata unaweza kuambia ni nusu ya bei halisi uliyonunulia tv yenyewe.
 
Hii Physics ilinukoroga Advance staki hata kuisikia. Hongereni lakini wajuvi
 
Kiongozi umenichanganya hapokwenye kutransform power. Sijaelewa 😎
Well,Transformer huitwa ivo kutokana na uwezo wake wa kubadil current na voltage levels huku power ikibaki constant yan power inakuwa transformed.Hili kwa chopper haliwezekani mkuu.Sijui nimesaidia kitu hapo?
 
Current.... Voltage... Power naomba ufafanuz wa kubaini tofauti ili twende sawa
 
Back
Top Bottom