Hapo kuna watu wanalia na wengine wanawalaumu wazungu eti wao ndio wamesababisha tuwe nyuma π π
Inaumiza sana kuona hata wanaoiba mabilioni serikalini bado wananunua majembe ya mkono na kuwapa wafanyakazi wao badala ya tractors π
Kwa hiyo usishangae sana kwani mchawi wa mtu mweusi ni wenyewe