mkuu lakini amri za mungu zinasema usizini.? Uasherati unakuaje dhambi.? Ufafanuzi kidogo.
Hivi wadau wa jukwaa hili si wajitokeze?
Hata nami natamani majibu mrua!
Habari wakuu,tukumbushane kidogo kuhusu maandiko juu ya kichwa cha mada hapo juu..
Je ipi ni dhambi kutokana na maandiko na amri za mungu..?!
Karibu kujifunza..
watu wanasema zote ni dhambi lakini sioni wakionyesha ni maandko yapi yanaharamisha yote. Nijuavyo mimi (kwa wakristo) amri ziko kumi na amri ya 6 inasema "usizini" tafsiri ya kuzini japo sina halisi lakini sidhani kama itajumuisha uasherati. Maandko ya Biblia kwa kiwango kikubwa yako centered katika amri hizo kumi. Sasa najiuliza wapi uasherati umeharamishwa kwa mujibu wa AMRI?
mkuu uasherati sio dhambi,hawa wanazingua tu.
Kitu au jambo lolote lile ambalo mungu amekataza mja, kwenda kinyume chake ni dhambi.mkuu lakini amri za mungu zinasema usizini.? Uasherati unakuaje dhambi.? Ufafanuzi kidogo.
Kitu au jambo lolote lile ambalo mungu amekataza mja, kwenda kinyume chake ni dhambi.
Kuzini lile tendo la kujamiiana na mwanamke ambaye si mkeo. Uashirati kwa ufupi ni sifa za mja ambaye hupenda kuzini.
Dini karibu zote ambazo zinaamini uwepo wa mungu na kuwa yeye ni muumba wa kila kitu[tunavyovijua na tusiyoyajua] zinaamini hivyo
Kweli mkuu hata kuogopa tu ni dhambi (maana amesema usiogope)Kitu au jambo lolote lile ambalo mungu amekataza mja, kwenda kinyume chake ni dhambi.
Kuzini lile tendo la kujamiiana na mwanamke ambaye si mkeo. Uashirati kwa ufupi ni sifa za mja ambaye hupenda kuzini.
Dini karibu zote ambazo zinaamini uwepo wa mungu na kuwa yeye ni muumba wa kila kitu[tunavyovijua na tusiyoyajua] zinaamini hivyo