mwanalemi
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 189
- 75
Mapi japo sijakuelewa vizuri, mistari iko mingi na humu imetajwa mingi "ukatanguliwa na neno amri" ndipo tatizo langu sijaelewa. Hata hivyo Mapi kama mtu anasoma Biblia na anaiamini basi kila akisomacho humo ni amri ya Mungu akitenda kinyume na jinsi linavyosema lile neno basi anastahili adhabu, kama imeandikwa usizini wewe ukazini unastahili hukumu.asante mwanalemi kwa ufumbuzi wako mzuri, embu sasa nielekeze nikasome huo mstari wa biblia unaokataza uasherati na ukatanguliwa na neno amri.