Tofauti kati ya Uasherati na Uzinzi?

Tofauti kati ya Uasherati na Uzinzi?

tupatie andiko
Hii hapa mkuu itakusaidia kama hutaridhika sema nikupe zingine(1 Corinthians 6:9 Do you not know that the unrighteous and the wrongdoers will not inherit or have any share in the kingdom of God? Do not be deceived (misled): neither the impure and immoral, nor idolaters, nor adulterers, nor those who participate in homosexuality,)
 
Wapendwa; Kwanza lazima tujue lugha na Chanzo cha maneno baadaye maana ya maneno halafu tafsiri yake! ndiyo jibu sahihi litapatikana!!
Ashirati
Zinaa
Dhambi
nk.
 
Ph-25 Soma barua ya kwanza ya Mtume Paulo kwa Wakorintho (sura ya sita mstari wa 9 - 10):

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
watu wanasema zote ni dhambi lakini sioni wakionyesha ni maandko yapi yanaharamisha yote. Nijuavyo mimi (kwa wakristo) amri ziko kumi na amri ya 6 inasema "usizini" tafsiri ya kuzini japo sina halisi lakini sidhani kama itajumuisha uasherati. Maandko ya Biblia kwa kiwango kikubwa yako centered katika amri hizo kumi. Sasa najiuliza wapi uasherati umeharamishwa kwa mujibu wa AMRI?
Mahali popote mkuu kwenye Bible ukiona neno "Amri" linamaanisha Neno la Mungu, kwa hiyo usijikite kwenye zile zilizotajwa kumi ukadhani upo salama
 
Nani amekudanganya hivyo???
inategemea unaogopa nini kwani kama unaogopa kufanya mambo ambayo mwenyezi mungu amekataza waja wake kufanya ni dhambi kweli????
 
Hebu angalia kwenye kamusi ya kiswahili sanifu
 
matendo yote mawili ni dhambi. kwa kiingereza ni Adultery na Fornication
 
nimesoma maelezo ya Horseshoe Arch akitafsir uasherat na uzinzi kama tendo la hiari. Katika maisha ya kawaida (siwezi toa mfano wa Mbinguni as sjafka huko) kosa ambalo linaadhbiwa linatendwa na mmoja na kumuudhi mwingne, sasa katika uasherati na uzinzi wote mnakubaliana na kwa furaha mnalitenda, hakuna kati yenu anaelazmishwa ama kuudhiwa (labda kwa kubaka). Sasa kwa nin furaha ya mtenda na mtendwa iwe dhambi??
 
Last edited by a moderator:
Tafadhali soma hapa (Biblia Takatifu): Wagalatia 5:19-20: "Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi...................; katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu".
Please Note: Katika mabaya yote yaliyotajwa katika andiko hili uasherati ni wa kwanza!!!!!
 
asante mwanalemi kwa ufumbuzi wako mzuri, embu sasa nielekeze nikasome huo mstari wa biblia unaokataza uasherati na ukatanguliwa na neno amri.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna zambi apo kama uzinzi alianzisha huyohuyo mwenye amri kumi (Yeye Maria alikuwa mkewe). Alimzalisha mke wa mtu ivi ivi wayahudi wanaona
 
  • Thanks
Reactions: SMU
nimesoma maelezo ya Horseshoe Arch akitafsir uasherat na uzinzi kama tendo la hiari. Katika maisha ya kawaida (siwezi toa mfano wa Mbinguni as sjafka huko) kosa ambalo linaadhbiwa linatendwa na mmoja na kumuudhi mwingne, sasa katika uasherati na uzinzi wote mnakubaliana na kwa furaha mnalitenda, hakuna kati yenu anaelazmishwa ama kuudhiwa (labda kwa kubaka). Sasa kwa nin furaha ya mtenda na mtendwa iwe dhambi??

Kwa sababu si mpango wa Mungu kuwaumba hivyo!!!!
 
Hakuna zambi apo kama uzinzi alianzisha huyohuyo mwenye amri kumi (Yeye Maria alikuwa mkewe). Alimzalisha mke wa mtu ivi ivi wayahudi wanaona
Mkuu, imebidi nicheke tu!
 
Hakuna zambi apo kama uzinzi alianzisha huyohuyo mwenye amri kumi (Yeye Maria alikuwa mkewe). Alimzalisha mke wa mtu ivi ivi wayahudi wanaona

Wako watu ambao kama watanena makufuru makubwa namna hii kutokana na roho iliyoko ndani mwao inaweza kuwaponza wale wanaolielewa neno la Mungu kwa usahihi. Ninakushauri wewe uliye na hofu ya Mungu wa kweli ujihadhari na watu wa namna hii usijikuta unabeba dhambi yao. Jihadhari na watu wenye roho za kuzimu.
 
Habari wakuu,tukumbushane kidogo kuhusu maandiko juu ya kichwa cha mada hapo juu..

Je ipi ni dhambi kutokana na maandiko na amri za mungu..?!

Karibu kujifunza..

Ezekiel 16:26
Thou hast also committed fornication with the Egyptians thy neighbours, great of flesh; and hast increased thy whoredoms, to provoke me to anger. (NKJV)

Matthew 5:27–28
"You have heard the commandment that says, 'You must not commit adultery.' But I say, anyone who even looks at a woman with lust has already committed adultery with her in his heart." (NLT)

Matthew 15:19
For out of the heart proceed evil thoughts, murders, adulteries, fornications, thefts, false witness, blasphemies ... (KJV)

Matthew 19:9
And I say unto you, Whosoever shall put away his wife, except it be for fornication, and shall marry another, committeth adultery: and whoso marrieth her which is put away doth commit adultery. (KJV)
 
Mkuu, imebidi nicheke tu!

Unawezaje kucheka jambo kama hili? Unatakiwa kusikitika kwani hao kama wasipotubu watakutana na bwana wao Ibilisi kwenye moto wa milele. Waonee huruma siyo kucheka. Hii haichekeshi bali inasikitisha mno.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mahali popote mkuu kwenye Bible ukiona neno "Amri" linamaanisha Neno la Mungu, kwa hiyo usijikite kwenye zile zilizotajwa kumi ukadhani upo salama

mkuu kwaio unataka kunambia kua mungu aliongeza amri nyingne.? Alizipokea nani.? Hao wagalatia au uyo paulo.?
 
Kwa sababu si mpango wa Mungu kuwaumba hivyo!!!!

mkuu kama sio hivyo... Naomba nioneshe mahali popote kwenye bible palipo onesha adamu amemuoa hawa.? Kama hakuna basi na wao walikua hawafanyi dhambi.?
 
mkuu kwaio unataka kunambia kua mungu aliongeza amri nyingne.? Alizipokea nani.? Hao wagalatia au uyo paulo.?
PH-25 Nilikuwa najibu hoja ya Mapi!!! fuatilia kwanza Mapi alikuwa anasemaje. Mbali na hivyo hata wewe unatakiwa ujue hivyo kwamba Neno la Mungu ni Amri akisema kuwa usiogope wewe ukaogopa umevunja amri na ukivunja amri unahukumiwa labda ujutie na kutubu ndio inaweza ikawa vinginevyo. Lakini kwa kujibu swali lako la msingi kwenye mada yako ni kwamba uasherati na uzinzi yote siyo dhambi kwa huyo mungu uliyemtaja. bali ni dhambi kwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi kwa mujibu wa maandiko(kama unayataka niambie nikutajie na mengi yametajwa hapa)
 
Back
Top Bottom