Tofauti iliyopo kati ya Karucee na Kasinde

Tofauti iliyopo kati ya Karucee na Kasinde

Sawa Lkn wakati mwingine Kasinde akipita mi nachanganyikiwa Alafu ni muke ya rafiki yangu Tized

Mie sielewi kabisaaa.Wewe utakuwa unampenda kasinde maana kuna kipindi ulitakaga kunioza kwa tized ili kasinde awe huru umchukue........lol
 
Last edited by a moderator:
Umenimiss eeeeeeh. Leo nakusamehe basi wifi angu eeeh, si unajua birthday yangu karibu, unitengenezee keki kama ile yako wifi eeh. Love u my one and only wifi

Hahahaa yote hiyo kisa keki? Hem nipe tarehe nikufurahishe
 
Hahaaa Huyo ni nouma eti hasa akija na kile kibaiskeli chake. Lol!

Wivu tu na phoenix yangu. Kisa nilikataa kukupa basi ndo kiroho papo. Ila nimekumiss kaka angu, ufanye fanye basi mpango, x'mas hiyo lovely brod
 
Wivu tu na phoenix yangu. Kisa nilikataa kukupa basi ndo kiroho papo. Ila nimekumiss kaka angu, ufanye fanye basi mpango, x'mas hiyo lovely brod

Nimekumiss mdogo wangu.Halafu kwanini xmass hii tusiende home sweetie tukasherehekee huko sie na familia zetu?
 
Khantwe kuna katoto kamoja katamlithi shangazi Ake!

miss neddy huwezi kosa offer dada hasa mwisho Wa mwaka huu!

Sina wivu na Hiyo Phoenix yako Heaven Sent

Sasa wewe ulitaka ninyooshe vipi maneno Honey Faith?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom