Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Hahahahaaaaa looh!!No english please!!!!
Hahahahaaaaa looh!!No english please!!!!
Hahahahaaaaa looh!!
miss neddy haonekani jukwaani kabisa..
asee
afu honey naona unaelekea pazuri
lile lakupewa chocolate
kumbe hata yule wake alikukuta?
mi nilidhani ni lift tu..
unajua waandishi mcho kodo wakati wote..
kwani mi huwa nafikiriaje?
lala salama..
hapo uko kimwili tu..
kiroho akili iko kwa mkupa chocolate..
ha ha ha
Standing across the room
I saw you smile,
Said I wanna talk to you-hoo-woo
For a little while,
But before i make my move
My emotions start running wild,
My tongue gets tied
And that's no lie.....
Anataka kutufanya tusiojua english tukimbie thread.Muandike kiswahili hata kama mnajua hicho kizungu chenu
Sawa mama ila sometimes unalenga kiswahili lakini unashangaa umeandika kiinglish, ni sheeedaarrr