Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Hupitwi na wewe jamani?!
Yan popote utakapopita na mimi nimo....nanusa
Hupitwi na wewe jamani?!
Wii hujambo.....hakikisha anakujibu
My wii naona amekimbia.Sijui anaogopa nini?
Anajua alichoongea kina utata
Ngoja nimsubirie lazima leo kieleweke
Ndo maana nakupenda my wii
Hunishindi mimi kwa jinsi navyokupenda
Ngoja nimsubirie lazima leo kieleweke
Ndo maana nakupenda my wii
Mmmmh Tangu lini umeanza tabia Hii ya kunizuia nisichepuke? Hujui wasukuma ni jadi kua na wake wengi?
Mmmmh Tangu lini umeanza tabia Hii ya kunizuia nisichepuke? Hujui wasukuma ni jadi kua na wake wengi?
Honey Faith hanishambuliagi hataHawachelewi hao kukugeuka na kukushambulia umenipa limbwata! Shaurilooo!
Sitaki unigombanishe na my wii.Toka lini mie nikakusupport kuwa na wake wengi?