MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,543
- 11,644
Dola haibadiliki thamani, hadi marekani ianguke.Dola unaweka ndani?
Na mfanyabiashara unaetumia bank kufanya malipo mbalimbali unafanyajr sasa
Dola haibadiliki thamani, hadi marekani ianguke.Dola unaweka ndani?
Na mfanyabiashara unaetumia bank kufanya malipo mbalimbali unafanyajr sasa
Kutoa hela kunasaidia kuangusha uchumi wa SamiaKutoa haitakusaidia. Labda kungekuwa na altarnative ukanunue gold.
Yes naungana na wewe bitcoin saivi inaporomokaAngenunua usdt ingekuwa vizuri zaidi!
Kutoa haitakusaidia. Labda kungekuwa na altarnative ukanunue gold.
kUmtoa ni ngumu,sema 9d kinachofanyika nikumchafulia tu uongoz wake ila sio kumtoaYaani kama hatutamtoa basi tufunge mikanda haswaa
Unaniangusha banaBilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
Kodi,mikopo na misaada ya wahisaniNchi inapata fedha kwa njia kuu 2.
1. Kodi
2. Mikopo
Kama hukopesheki inabidi upandishe kodi maradufu.
Wapi ambapo serikali itaweza kukusanya kodi kirahisi?
Nikiputinjia zote wanaoweza kuzitrack kama benki, maana yake ni kuwa wakati wa utekelezaji Zaji wa bajeti wataweza kuchukua pesa zilizopo bank na kwenye simu kirahisi kuliko sehemu yoyote
Misaada huwa naiweka kundi moja la mikopoKodi,mikopo na misaada ya wahisani
Ushaambiwa kaza fuvu halafu yakitokea uje ufungue uzi tutakupa kubwa wallah vile naapa...Uchumi unaanguka kisa nini?
ChawaYani ukiskiza mambo ya mitandaoni.
Ukaangalia na BBC Unaweza dhani tuko Sudan😅😅😅kumbe wala maisha mitaani yanaendelea wengine tunazurula mpaka saizi kusaka ridhiki na hamna kilichobasilika...
aah aisee.. ogopa sana mtandao
Tatizo hampendi kuambiwa ukweliChawa
Nasubiria kusikia mnakaza matako... endeleeni mkianza kutoa milio msije mkatolea humuHaina mantiki kutoa fedha ukahifadhi ndani then uibiwe ,sijaona logic labda tuhifadhi kwa ajili ya D9 tukipigwa curfew tuwe na akiba ndani ya kuagiza boda akukuletee mazagazaga na kwa ajili wakizima internet ATMs hazifanyi kazi(labda kwa hapo)
😂😂😂😂Wengine ndio tunaanza kuinuka vaada ya misoto afu uchumi uanguke tena!! Tutaanguka nao wengi.
DamnKama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua
Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
100 zimeadimikaUchumi unaanguka kisa nini?