Tobaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tobaaaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 14, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyo inaelekea aliingia akashindwa kutoka!, Unakumbuka ule mchezo wa kuingiza kichwa kwenye matundu madogo ya grili au vents za nyumba, halafu kutoa kichwa inakuwa ishu sababu inahitaji mahesabu kweli!!, utakuta unabaki hapohapo mpaka baba arudi toka kazini.
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  michezo mingine hawa watoto wanatutafutia pressure sisi babu dhao!!!
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  duh hapo akutane na dereva kiziwi yeye atampanda tu
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  picha zengine bana...
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena madereva wa siku hizi, msiondoe gari jamani nyumbani au mitaa yenye watoto bila kuangalia chini na nyuma ya gari. Kuna rafiki yangu Mganda aliuwa mwanae wa kumzaa mwenyewe, anatoka na gari kumbe mtoto anacheza chini ya tairi.

  Ni hatari kweli, tuwe waangalifu kwa hawa malaika, hawajui kitu jamani.

  Mbuzi Mzee
  hii nyuzi nzuri sana kuwakumbusha wenye magari na wanaofikiria kuwa na magari wawe waangalifu.
   
 7. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  OMG! Kaingia ingiaje hapo! Oh Lala
   
 8. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Naogopa kabla ya kuona kitakachotokea ikiwa dereva hata kagua gari yake na akaingia akiwa na haraka. Drivers tafadhali kagueni gari kabla ya kuondoka
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  The way huyo mtoto anavolia namuonea huruma sana

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Huku ni kuleteana pressure tu!!
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akichomolewa hapo yeye na gari ni maadui kuanzia leo.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wapi, hao hawana uadui, kesho utamkuta tena hapo hapo.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Siku nyingine atakuwa haisogelei tena hiyo
   
Loading...