palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkAli Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Mji wa Xiamen nchini china Liu Keqing, na viongozi wengine wa Mji huo,baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Concert Hall,alipoandaliwa Chakula cha Jioni , akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China
Source: wavuti.com - Blog