To You BelindaJacob

FM Academia ndo wanajua kurusha vizuri...bia moja unarushwa hewani

Muzeeya Driimulaina mutu ya pesa mingi....
Mamaa la waisiledi mutoto ya mulimani
Mudadaa ya Preta... mama ya pesa kama benki kuu

Wewe mtu yangu mbona unamsahau ndama mtoto ya ng'ombe au unabagua jinsia tu?
 
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...

Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................

Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.

Mkuu sasa naona unashika ****** ya simba wewe...taja wote ila niachie Belinda wangu...she has been reserved by Magulumangu....taja wote tena anzia na Lizzy...
 
dah! nimekuckia My dear Magu, nilibadili ID ili nikupime, kumbe ungali wanitafuta. Ntaku PM soon, lol. Ila naomba untumie dola tano ya Voda kwa M-PESA, lol

Mh belinda hayuko hivyo...yeye anataka jezi tu...mie ntampelekea wachezaji kumuona kama surprise...halafu mie Voda situmii, natumia tigo...kama unataka ntakupatia tena fasta tuuu...
 
Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!

Kwani wewe wema Sepetu utumiwe kupata umaarufu? Aspirini ni maarufu pia so maarufu plus maarufu equal to maarufu^2
 
Nani anapata ujiko sasa?........Mi nnao wa kutosha.......... Tena we ndo ntakurusha na kiherehere chako. Subiri nilewe!

mkuu niko na one john mtembeaji hapa njoo tulishambulie akome huyu Lizzy...
 
Kwani wewe wema Sepetu utumiwe kupata umaarufu? Aspirini ni maarufu pia so maarufu plus maarufu equal to maarufu^2
Weee hata siku moja usinifananishe na watu ambao siko level nao.Umaarufu wake na wangu ni sawa na omo na jiki...TOFAUTISHA!!
 
Mh belinda hayuko hivyo...yeye anataka jezi tu...mie ntampelekea wachezaji kumuona kama surprise...halafu mie Voda situmii, natumia tigo...kama unataka ntakupatia tena fasta tuuu...
Kama unatumia Tigo sidhani kama mtaendana na Belinda hebu jaribu mwingine.
 
Lizzy mtoto wa Klm nimevumilia nimeshindwa,toka siku niliyojiunga,uliutekenya mtima wangu,kiukwel moyo wangu umekudondokea,hakika nilitamani uwe blangeti langu lakini haikuwa,kwenye joto nilitamani uwe feni wangu lakn haikuwa,naandika maneno haya nikijua fika utasikia kilio changu cha ndani ambacho nimekitoa kwako na memberz wote wajue. Majbu yote yapitie kwa mwanakamati wa Dodoma{mpwapwa} husninyo. In your love lizzy my future is not in peril.
Wishing you all the best hahaha! umewahi kuusikia wimbo wa 'another one bites the dust'.
 
dah! nimekuckia My dear Magu, nilibadili ID ili nikupime, kumbe ungali wanitafuta. Ntaku PM soon, lol. Ila naomba untumie dola tano ya Voda kwa M-PESA, lol

dah! hata mimi nilibadili id, nenda kwa pm utakuta maelekezo ya kuipata hiyo credit ya voda.
halafu hili jina la gt nitabakinalo kwani naona jamaa mwingine kishachukua jina la magu lolo
 
Lizzy mtoto wa Klm nimevumilia nimeshindwa,toka siku niliyojiunga,uliutekenya mtima wangu,kiukwel moyo wangu umekudondokea,hakika nilitamani uwe blangeti langu lakini haikuwa,kwenye joto nilitamani uwe feni wangu lakn haikuwa,naandika maneno haya nikijua fika utasikia kilio changu cha ndani ambacho nimekitoa kwako na memberz wote wajue. Majbu yote yapitie kwa mwanakamati wa Dodoma{mpwapwa} husninyo. In your love lizzy my future is not in peril.
mwanakili hujatulia wewe, naona mwanakamati wa mpwapwa kazi tena sina maana mtoto katoa majibu live bila chenga.
 
omg!!..Nilikuwa sijaona hii kitu!..

Read your PM box and reply me ASAP...

Usibadilishe hii avatar bila ruhusa ya Board of Directors ya JF na uwe na sababu nzito za kufanya hivyo, maana sijui kama kuna avatar nyingine itayoendana na ID yako ya BJ :) ...nadhani umeona mechi ya leo na Wanigeria katika Kombe la dunia la Wanawake kule Germany. Nigeria wamefungwa na Wafaransa 1-0 lakini Nigeria walikuwa na nafasi nzuri za kushinda kama sio kutoa draw.
 
Sredi closed...pigeni magoti wote na nipongezeni kwa kazi nzito....oleoleoleoleoleoleole magulumanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom