To You BelindaJacob

Even if you want my breath am ready.......

mkuu huyu BelindaJacon ukimuona mwambie jamani ni kikohoziiiiiiiiiiiii

dah! nimekuckia My dear Magu, nilibadili ID ili nikupime, kumbe ungali wanitafuta. Ntaku PM soon, lol. Ila naomba untumie dola tano ya Voda kwa M-PESA, lol
 
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...

Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................

Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
 
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!
 
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...

Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................

Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.

Ze folowing yuza sei sank yuu tu Asprin fo dhis yuzifuli posti
Dreamliner (Today)
 
Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!
Nani anapata ujiko sasa?........Mi nnao wa kutosha.......... Tena we ndo ntakurusha na kiherehere chako. Subiri nilewe!
 
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...

Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................

Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.

Mbona umemsahau Miss Judith?
 
Ngoja nianze kuwarusha mmoja baada ya mwingine! Kama Dar Jazz Band...
FM Academia ndo wanajua kurusha vizuri...bia moja unarushwa hewani

Muzeeya Driimulaina mutu ya pesa mingi....
Mamaa la waisiledi mutoto ya mulimani
Mudadaa ya Preta... mama ya pesa kama benki kuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom