To You BelindaJacob

aisee!!!... BelindaJacob...mnh!...

Haya.
 
Partner unamuarifu taratibu kua bana hilo tofali liache tutafute lingine...lol


Ashadii wewe humjui Lizzy bwana? yeye mtu wa shari tuuuuuu......hata maandishi yake ya shari tuuuuuuuuuuu
 
Duh kazi kweli kweli!! Umejaribu kumtumia PM? Kama bado here is a tip for ya mnunulie jezi ya man Utd au Barcelona (andika jina lake na number ya David Villa).

Mkuu ina maana ana vigimbi ka Messi? PM mtasema mie muoga hapahapa namwaga sera
 
Hee! Hizi threads za nakuzimia flani sio kwamba zishapitwa na wakati? Nauliza tu.
 
Hee! Hizi threads za nakuzimia flani sio kwamba zishapitwa na wakati? Nauliza tu.

Kama bu hivyo basi na mimi nimepitwa na wakati..new system ipi sasa husninyo?au unavuta tu kisela?
 

omg!!..Nilikuwa sijaona hii kitu!..

Read your PM box and reply me ASAP...
 
BJ is lack, I am always dream abt this person called himself magulumangu
 
Lizzy mtoto wa Klm nimevumilia nimeshindwa,toka siku niliyojiunga,uliutekenya mtima wangu,kiukwel moyo wangu umekudondokea,hakika nilitamani uwe blangeti langu lakini haikuwa,kwenye joto nilitamani uwe feni wangu lakn haikuwa,naandika maneno haya nikijua fika utasikia kilio changu cha ndani ambacho nimekitoa kwako na memberz wote wajue. Majbu yote yapitie kwa mwanakamati wa Dodoma{mpwapwa} husninyo. In your love lizzy my future is not in peril.
 
Kwahiyo huwezi kuniita pembeni???Mambo ya kutongozana katikati ya Kariakoo siwezi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…