To: Shemeji and Sister....

To: Shemeji and Sister....

thanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh
Hahahahahahahaha...zimefika mpenzi

Nampendaje Erickb52....mengine siongei..!!
 
Last edited by a moderator:
thanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh

ukisikia fitna hii sasa ndo fitna......hongera zako lakini kwa besdei......mmmmmwwwwaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
hivi kimekuwashia nini mpaka ujipendekeze sehemu isiyokiuhusu wewe? sherehe sio yako unaivali njuga muachie DSpecial ndiye anayehusika zaidi hata kama huyo sista ni nkamu gwako?
Ni njema dadangu..mzima wewe!??

Ubaya wa birthday za Jumatatu ni u kan't party enough!!!

But da Nivea wherever u @ ...wish u have a blast this day!!!

MOB LOVE.
 
Last edited by a moderator:
happy bday my sister Nivea hiyo tarehe 17 ni njema kwetu sote, nitatoa maana ya tarehe hiyo ikifika july naomba unikumbushe
 
Mie nna mke jamani..dah! Cc: Baba V
mimisa, nimekumiss!
 
Last edited by a moderator:
thanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh

Loh . . . .!!!!!
Shosti, vipi tena kutunanga mchana kweupeeee???
Kumbe nisipokuwepo ndo huwa unanitolea mashushu kiasi hiki . . . poa tu.

Anywayz . . . Happy belated birthday.
All the best my dear.
Bless!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom