Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hahahahahahahaha...zimefika mpenzithanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh
Nampendaje Erickb52....mengine siongei..!!
Last edited by a moderator: