Asprin ...................hiyo ina apply kila upande. Mwanamke pia anatakiwa am suprise mume kwa kumpa pesa akatumie na washkaji (sijui psychological wanaume watalichukulia vipi hili suala), ila wanawake wanapopewa mshiko na waume zao japo hawauhitaji psychological inakuwa ineleta furaha kubwa.
kaizer furaha ya mke ndio furaha ya familia usijali hamna kidumu wala nini
Na kwa upende wa pili? Yaani kwanini wewe usimsuprise mmeo kwa kumkatia pochi akamimine ulabu na mabesti zake?
Akikujibu unambie manake kuna yangu pia iko pending naona.hee..lazima kujali (halafu nilikutumia PM mbona hujanibu bana)
mkuu umeongea jambo sahihi kabisa i have seen lediiz SPENDING A LOTS kwa 'vijiboifrendi tu' kwamba asiachike!....i have seen jamaa anaomba hela kwa galfriend wake huku akimtishia 'USIPONIPA MI NAKUACHA'Wapo wanawake wengi tu wanafanya hiyo kitu. Kuna ndoa siku hizi ni "SHE DRIVEN". Kwa hiyo mwanamke anahaha sana kuilinda ndoa. Hata jamaa akijirusha nje, mama anaishia kumpa pole nakumtayarishia maji ya kuoga kwa kujiliwaza kwamba walau amerudi home. Kesho yake anapigwa surprise ya nguvu kama bonge la chaini (kama dola 200-300 hivi)!
Hata hivyo hivyo vitu kuna mazingira mengine havifanyi kazi kabisa. Binafsi nafagilia mtu kuhangaikia hali halisi ya ndoa yake badala ya kuiga wengine. Kwenye ndoa hakuna cut and paste. Na hizo surprise za kuiga wakati mwingine zinakera. Unaweza kukuta surprise zako, tena nyingine za gharama sana zimetupwa uvunguni au dust bin! Bora kudeal na kile mtu anapenda. Mimi nilishaacha hizo surprise. Kama kitu anataka basi tunakubaliana namnunulia au nampa pesa akanunue mwenyewe.
Manake ndo utapata sababu ya kuchelewa kurudi home:nono::nono:i am trying to imagine 'waif' ananipa hela ya bia............:ranger::ranger::ranger::ranger:
i am trying to imagine 'waif' ananipa hela ya bia............:ranger::ranger::ranger::ranger:
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?
( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)
Akikujibu unambie manake kuna yangu pia iko pending naona.
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?
( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)
Asprin, teamo, kaizer, DC .......... Inaonyesha hamtegemei kupewa pocket money na wife lkn jee mkipewa once in a while mtalichukuliaje suala Hilo?
( Mimi nikipata extramoney nyingi sana huwa namkatia chenji hubby ......imekaaje hii?!)
mkuu umeongea jambo sahihi kabisa i have seen lediiz SPENDING A LOTS kwa 'vijiboifrendi tu' kwamba asiachike!....i have seen jamaa anaomba hela kwa galfriend wake huku akimtishia 'USIPONIPA MI NAKUACHA'OMG
AKINIPA HELA YA BIA LEO,KESHO ASUBUHI TALAKA.....!:A S-smoking:
hapo mie ni mpaka aniambie kama amepungukiwa/ishiwa...otherwic hiyo hela nitaenda hapo nakumat kumfanyia shopping.