Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Kaka unatukosea ambao single mother sisi sio vilaza sawa ila huwezi vumilia matatizo ambayo hayavumilikiWengi wenu masingo maza ni vilaza..! Kukosa kuwa constructive wanaishia kutupiliwa mbali na kidume anasonga mbele...!
Tabia yenu ya kukumbuka misri inakera mno, afu pia ujue ndoa siyo majaribio eti POTEA NJIA UTAULIZA ILA SIYO KUOA.
Ukilaza wenu uko hivi, unajua ni upumbavu kumkimbia mwanaume afu bado unamtegemea, mfano unajifanya hutaki mahusiano huku unataka matunzo ya mtoto, hapa ndipo mnapochapiwa fimbo sababu akili ya kutafuta pesa umtunze mtoto huna unaishia kurudi kwake kuomba pesa upewi bila kuliwa, pili usipotaka kurudi huko utatafuta mwanaume wa kuegemea just tu akusaidie kulea mtoto ndiyo maana ata hapa mnashupaa eti lazima atakayekuoa apende mtoto wako nani kasema???Kaka unatukosea ambao single mother sisi sio vilaza sawa ila huwezi vumilia matatizo ambayo hayavumiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni ya watu wawili.Unajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
Wanachukulia Kama Ndio condition ya kumuoa as if wote wa kuwaoa wameisha.Ukilaza wenu uko hivi, unajua ni upumbavu kumkimbia mwanaume afu bado unamtegemea, mfano unajifanya hutaki mahusiano huku unataka matunzo ya mtoto, hapa ndipo mnapochapiwa fimbo sababu akili ya kutafuta pesa umtunze mtoto huna unaishia kurudi kwake kuomba pesa upewi bila kuliwa, pili usipotaka kurudi huko utatafuta mwanaume wa kuegemea just tu akusaidie kulea mtoto ndiyo maana ata hapa mnashupaa eti lazima atakayekuoa apende mtoto wako nani kasema???
Singo maza mwenye akili huwa anamuomba mpenziwe mpya kwa upole na kuelezea situation nikikuelewa tunaishi ila siyo uniwekee kibra eti lazima nimpende na mwanao kwa nguvu uliyezaa nae amekushinda kumlazimisha akupende wewe na mtoto wako afu ndiyo ulete ubabe kwangu kiukweli kimavu siwezi kukuelewa ata kiduchu.
Mjiongezee mwenye makosa ni mama mtoto kwa kuzaa na mtu asiyeeleweka hivyo huwezi kunifanya victim wa makosa yako, labda kwa kuniomba na lazima nitakupa. Conditions zikikushinda sahau ndoa na mimi.
Yah yah nyinyi mnaosema uhusiano umekwisha si wa kulaumiwa kabisa, kwasababu mama ndiye aliyebeba mtoto tumboni asiwe na maisha wakati wewe uko free kuoa na kuendelea na maisha yako.Matatizo makubwa mnajitengenezea kutaka kotekote unakuta unahitaji baba mtoto sababu ya maslahi ya mtoto na mume hicho kitendo kinamkera sana.
Ukisema umpuuze mzazi mwenzio hayuko tayari ndiyo hapo, single mother unabaki ujielewi
Ukikua utayajua.na ya nn mm kijana 27 yrs nihangaike na single maza?
wapambane na hali zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiweka msimamo kuwa watoto wenu watawatafuta wakikua mnasema tuna roho mbaya.tatizo mnapashaga viporo
zile salaam mara mtoto vp hali yake mnaishia kuvuliwa chupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa humu sijui mnaishi Kwenye jamii ipi.
Katika watu ambao wameolewa na watoto au mtoto ni wachache mno ambao huwa hawawarudii wazazi wenzao.
Yaani mtoto anakuwa kiungo cha kuvunja ndoa yake mpya.
Mawasiliano ya mara Kwa Mara kwa sababu yoyote ile na mwanaume ambaye alishawahi kukugegea na akakukojolesha ukaridhika ni Lazima utaanguka naye tu.!!
Sasa kwa usalama wa ndoa yako ni afadhali huyo mtoto aende kwa baba yake au Kwa bibi yake.
Baba yake akitaka kumuona awasiliane na huko aliko mtoto.
Labda baba wa huyo mtoto awe alikufa, vinginevyo ni Shida tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, kwasababu sisi ndiyo tunabeba mimba na kulea si kwamba hatupendi kuwa wake za watu, wao wanakuwa huru kwenda kuoa na wanaweka amri kuwa atakuja kumuona mtoto bila kujali kuja kwake kunaathiri vipi uhusiano wako mpya.mkuu ni bora wanaume waelewe kuwa na sisi pia tungependa kwa wake wa watu lakini kwasababu ya watoto tunaopata nje ya ndoa inakua vigumu kwetu kwahiyo na wao kabla ya kuleta maamuzi kuwa hawataki kushirikishwa kwenye malezi walielewe hili.
Hahaha asante kwa kusema ukweli. Hasa mtu akiangalia hum Jf watu wanavyowananga basi ndo kabisaa anapagawa....cha muhimu mtu unatakiwa usimame kwa miguu yako angalia furaha yako binadamu hawanaga jemaUnajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
Wanachukulia Kama Ndio condition ya kumuoa as if wote wa kuwaoa wameisha.
Na bahati mbaya hizi condition huwa wanaziweka wakiwa wameshaliwa na jamaa anasepa na mwingine atakuja na kusepa.
Mwisho anaishia kuwa jamvi LA wanaume wenye njaa.
Kuwa single Maza hakujaanza Leo.
Zamani watu walikuwa wanaficha Hao watoto mwanaume mpaka ujue ni mtu akuambie.
Na walikuwa hawaji kabisa huko alikoolewa mama yao.
Hembu jiweke kwenye miguu ya huyu mtoto ambae anajua kabisa ana mama lakini kwasababu alizaliwa nje ya ndoa hawezi kuwa karibu na mama yake kwasababu atamtia aibu. Hivi ndivyo binadamu tunapaswa kuishi kweli? Kwanini tusiichukulie watoto kuwa ni Baraka kutoka kwa Mungu ukimkuta mwanamke mwenye mtoto mlee huyo mtot kama wa kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanachekwa kwa kukosa msimamo, mwanaume yeyote anaemini kile anachokitetea na kusimamia hoja yake jamii itamheshimu.Unajua tatizo lipo wapi mkuu? Wanaume wengi wanogopa kuchekwa, anaweza kuwa amempenda mwanamke ambaye tayari ana mtoto lakini anogopa marafiki/ndugu/jamaa watamwonaje. Lakini wakati umefika sasa katika mahusiano kusimama ninyi wawili na kuamua maisha yenu. Kosa kubwa wanalofanya wanawake katika mahusiano ni kuficha kuwa ana mtoto/watoto. Matokeo yake anakuja kusema wakati mapenzi yameshakolea kiasi kwamba mwanaume anakasirika kwa kutokuambiwa ukweli..
Hili tatizo lipo kitambo na litaendelea kuwepo, nimeshuhudia Mwenyewe.
Single mother anataka kutolewa Mahari, akampeleka mwanae kwa dada yake, akaja kuolewa mtoto bado hajui kinachoendelea alikuzwa kwenye familia nyingine na akapata malezi bora zaidi kuliko angekuwa na mama yake.
Mtoto alikuja kujitambua akabadili na ubini afanane na ile familia.
Tatizo likajitokeza watoto wa Ndoa (wadogo zake kwa baba mwingine ) hawana mapenzi na huyu ndugu yao.
Na yeye hana mapenzi kwa mama yake.
Inamtesa sana Mama yake maana ndio alitegemea aje kuwa rafiki, mshauri na msaidizi wake katika uzee wake.
Makosa yake alipokuwa single ndio matunda yake hayo sasa. ..
Mwanae kaendelea kuliko wale wa Ndoa na wala hana habari na mama yake wala ndugu zake.