Baba paroko anaogopa asije kuumwagia mtongozo mdume mwenzie.....chezea multiple ID wewe.....! Mwenyewe unajipinda kumwaga mtongozo wa maneno matamu kumbe dume lenzio linakuchoraa tu! Acha atafute experience ya wadada ili aweze kudiscriminate majibu......lolz.