To ''love'' and ''feel loved''...!

To ''love'' and ''feel loved''...!

Plse my dear
For deep clarification, PM AD
I cant say more while da responsible madam is around

You have to do better than that... wewe ndo uliniambia sio AD... Si hata atanishangaa nim PM na we are together hapa... at the same time she is not the one who told me but you... STOP running from moto ulowasha..... Please zima mwenyewe...

Hata ninapoandika ripoti zangu, kama kuna participant hajaelewa huwa natumia references kuelewesha.
Yaani kama uthibitisho wa nilichokiandika ktk ripoti yangu haujaanzia kwangu, basi huwa natoa njia elekezi mbadala ambayo naona itamsaidia muuliza swali aelewe.
Tunakwenda proffesionally bana au sio.

Nimekupa njia elekezi ambayo itakusaidia kupata uelewa zaidi. Pengine labda una utata mwingine na hiyo njia niliyokuelekeza

:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Daaaah
Umenikuna kweli na mfano wako HALISI my AD
Me love it so much :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Ni wazi kwamba kipindi kile navaa kijeshi kwanza nilijihisi nimevaa OVYO kiasi kwamba sikutegemea wala kuwazia ningeweza kumvutia mdada yeyote. Isitoshe natambua ulivyokuwa unanitoa kwa ufuta, bagia, aiskrimu n.k. Kwa kweli nilijisikia raha sana kutoka na wewe (ulikuwa hujagundua hili).

Mimi nilijua kwamba UNAFURAHIA kunifanyia yote hayo, na inakufanya usikie raha. Sikuwahi kuwazia kwamba ungefurahi mara dufu kama ungepata feedback yangu (PAY BACK). Binafsi hata mimi nilikuwa nasikia raha sana, raha ambayo nilishiindwa kukuonyesha ukaelewa (hukuweza kuelewa MY FEEL of love to you).
Kama ningekuwa SIJA-FEEL your LOVE kwanza nisingeambatana na wewe mara zote hizo, nisingepokea lolote kutoka kwako, ningekuwa nakasirika kwa kila unalonifanyia, ningekuwa nakusema pembeni vibaya.

Hapa nadhani utakuwa umeona kwamba HUKUWEZA KUTAMBUA HISIA ZANGU KWAKO, au pengine majibu yangu ya KIHISIA kwako hayakukufanya utambue kwamba I HAVE FELT YOUR LOVE and i responded thru "being with you everytime" maana sikuwa na uwezo wa kukununulia vitu kama ulivyokuwa unanifanyia.

Naomba nikanushe kwamba SIKUWA NAMFUKUZIA Merry, ila pengine hizo ishara za kummegea ulivyonipa ndio vilikuwa vinakushawishi uone NAMFUKUZIA. Merry nilikuwa nimezoeana nae sana, familia yao na yetu zilikuwa marafiki sana. Nikiendaga kwao nakula vizuri tu, hata yeye akija kwetu. Tulizoeana vibaya niseme lakin hatukuwa tunatakana. Alikuwa ana mpenzi wake.

Hitimisho

Kutambua hisia za mtu kazi sana.

my dear sipi youu

nimefurahi sana kupokea barua yako yenye maneno matamu na ya ku huzunisha sana
ningefahamu mapema ya kwamba ulikuwa unanipenda labda sasa hivi
tungekuwa na maisha tofauti, iliniuma sna kwa mimi kufanya nililofanya kukuonyeshea
upendo wangu, lakini reaction na majibu yako yakuwa yanani katisha tamaa
kila toungeapo unanieleza kuhusu merry , hata siku moja hujawahi niambia ni jinsi gani
ungependa ku spent some time with me , sababu wewe uko busy na merry..
hii ndo sababu iliyonifanya niupende mto wangu kuliko kitu chochote sababu kila nitoapo
chozi ajili ya uchungu wa kukosa upendo wako huwa naenda kuukumbatia
na unanipa faja tena, nikiwa na hasira nau punch na hasira zangu zinaondoka zote....
sasa naona umerudi kwa gia zote baada ya kuuteesa moyo wangu na akili
swali
kuna second chance kwenye upendo??

• Thanks
Reactions: CPU

Duuuuuh
What a sweet barua to me jamani . . . .
Ngoja niongee na HISIA zangu kupitia MOYO wangu uweze fikiria na kufanyia kazi ulichouliza
Maana sitaki KICHWA, TUMBO wala MWILI wangu vifanye maamuzi
Nataka maamuzi yatoke MOYONI kupitia ktk HISIA husika

Hata ninapoandika ripoti zangu, kama kuna participant hajaelewa huwa natumia references kuelewesha.
Yaani kama uthibitisho wa nilichokiandika ktk ripoti yangu haujaanzia kwangu, basi huwa natoa njia elekezi mbadala ambayo naona itamsaidia muuliza swali aelewe.
Tunakwenda proffesionally bana au sio.

Nimekupa njia elekezi ambayo itakusaidia kupata uelewa zaidi. Pengine labda una utata mwingine na hiyo njia niliyokuelekeza

Duh!!! Full utata...

I second you on this Asha.

Ukimpenda mtu kiukweli yaani ile sana,you will automatically feel loved.

Yaani yale mapenzi unayotoa yanatosha kukufanya uhisi kuwa unapendwa.

Huoni wala husikii mabaya yoyote ya huyo mpendae.

Kama alivyosema Mfalme wa Amani kwenye mfano wa sisi wazazi

Ni kwamba kwa sababu unampenda sana huyo mtoto you will do anything for her na kuendelea kwako kufanya hivyo means that you feel loved back,otherwise kama ilivyo kwenye haya mapenzi ya kisasa,mzazi pia angestop/angepunguza mapenzi kwa mtoto pale ambapo angehisi hayuko loved back. Na ndio sababu mapenzi ya kisasa yanaona kasoro/mapungufu cause the love u give is not too stong to recipricate itself.

Duuuh,ur point has left me speechless,Hekima kama Suleiman!!

Ngoja nijazilizie kimtaa; Wanaopenda kiduchu ndiyo huwa wanasubiria "Feedback" ya mapenzi waliyotoa,Those who love abundantly wao wanajua jambo moja tu,KUPENDA,period,hawana time na fdbck!

Inategemea na upendo unaouongelea....
Kati ya mzazi na mtoto hua hakuhitajiki mmoja kusema au kumuonyesha mwenzake kama anampenda ili ajisikie anapendwa.We automatically believe and feel that we are loved.Ndo maana hata inapotokea mmoja amefanya kitu ambacho sio kizuri kwa mwenzake anaweza kua excused kirahisi tu....kwa maana ya kwamba ni ngumu kumkuta mzazi akifikiria kwamba mwanae anafanya afanyavyo kwasababu hampendi.Haipo kabisa mawazoni wala kwenye hisia zetu...we know it's there and that's that!

Tukija kwenye upendo wa kati ya mwanamke na mwanaume hapa ndo kuna challenges sasa kwasababu hapa inategemea na mtu mwenyewe!!!Kuna watu ambao wao wakipenda nothing else matters..ndo maana unamkuta mtu yupo na mtu japo anafanyiwa vituko vya kila aina ila bado hapati zile hisia za SIPENDWI kwasababu mapenzi na upofu unaoambatana na mapenzi yake vinamfunika kwenye mapenzi yake mwenyewe kiasi kwamba nae anahisi kupendwa!!Alafu kuna wale wasiojali kupenda bali kupendwa....yani yeye kama mtu anampenda yeye yuko radhi kuwa nae ili yeye ahisi kupendwa bila kuhisi kupendwa kuliko apate ambae atahisi kumpenda alafu asihisi kupendwa!!Mara nyingi hawa ni wale wanaotumia akili zaidi ya hisia zao kuwa kwenye mahusiano!!

Mwisho ni ule wa kati ya ndugu na marafiki....mara nyingi huu watu hua wanapenda tu bila kujali kupendwa kwasababu mapenzi ya waliopo kwenye kundi hili mara nyingu hua yanatolewa bila vigezo!!Yani unampenda tu mtu kwasababu ni rafiki/ndugu yako.....

Kwahiyo mwisho wa siku inategemea mtu na situation aliyopo kuweza kujua muhimu kwake ni kupenda au kupendwa!!

Lizzy darling.................................
Naamini mimi na wewe tumemwelewa mfalme wa amani kwa upeo mmoja. Teamo anazungumzia upendo in general, lakini wengine wamekonsetreit na upendo wa mapenzi ya kulalana kitandani.

Kizazi hiki, ngono ni somo kuu, halikwepeki!

Haya sasa baada ya kutoa mwongozo wote ule.... Nini kifanyike???

Kwa mimi
Anaejua maana ya mapenzi hapaswi kuhesabu feedback alizopewa kutokana na kupenda kwake.
Na anaejua maana halisi ya mapenzi anajua wajibu wake (Mapenzini unawajibika)

Mimi nakupenda wewe Asha D
Basi nitapaswa nikuonyeshe ninavyokupenda
Ngoja niwaze sasa nimfanyie nini huyu Asha D kwa leo
" . . . Asha D anapenda sana utunzi wa mashairi, ngoja leo nitatunga shairi halafu nitamvizia ametulia tuliii naanza kumuimbia"
"Ngoja leo nimpelekee hizi nguo nyekundu, sijui atazipenda???"

"Aaaaaaaah, nishakumbukaaaaa
Anapendaga blauzi za pinki, pale "NEW ARRIVALS WEAR" zipo, wanauza elfu 80. Ngoja niende benki nikaongeze salio"

"Mmmmmmh . . . lakin ngoja kwanza! Nakumbuka dada ake aliwahi kuniambia kwamba alivyokuwa mdogo alikuwa anapenda sana kucheza rede. Ngoja leo nitengeneze ka-mpira kangu nakashona vizuuuuuri na uzi halafu nam-saplaiz nataka tucheze rede"

"Mengine ntamfanyia siku nyingine"

Lizzy darling.................................
Naamini mimi na wewe tumemwelewa mfalme wa amani kwa upeo mmoja. Teamo anazungumzia upendo in general, lakini wengine wamekonsetreit na upendo wa mapenzi ya kulalana kitandani.

Kizazi hiki, ngono ni somo kuu, halikwepeki!
Sasa kama usingekuwa huo upendo wa kitandani unadhani wewe ungekuwepo leo? kwanza nahisi wangekuwa Adamu na Eva tu dunia nzima.

Lizzy darling.................................
Naamini mimi na wewe tumemwelewa mfalme wa amani kwa upeo mmoja. Teamo anazungumzia upendo in general, lakini wengine wamekonsetreit na upendo wa mapenzi ya kulalana kitandani.

Kizazi hiki, ngono ni somo kuu, halikwepeki!
Hahahahaha babu bwana....ukiendelea kua mchokozi wajukuu watakupiga mawe!!

Back
Top Bottom