To ''love'' and ''feel loved''...!

To ''love'' and ''feel loved''...!

Hahahahaha babu bwana....ukiendelea kua mchokozi wajukuu watakupiga mawe!!
Hawana jeuri hiyo.

Unajua hawa wajukuu zangu wakishaona neno "LOVE" akili zao zinaamia kwenye sita kwa sita na baioloji zao zinatetemeka kwa matamanio ya kulalana................Wizi mtupu na tabia mbaya imelala kwenye vimwaga mkojo vyao...LOL

Usiwaambie mi ndo nimeandika haya, si unajua pasiwedi ya babu kila mtu anaijua?
 
Cmon girl.....na umri huu mi nifundishwe na hivi visharobaro?

We ndo mwalimu wangu, hebu peleka mimi darasani tena bana.

BTW unaendeleaje? Na unajua mchumbako navokumisi lakin?
Kuhusu sharobaro nimeelewa,ntamwambia mjukuu mtiifu akufundishe nadhani huyo huna pingamizi.kuhusu hali yangu na kuwa umenimisi nasubiri wajukuu zako walale kwanza then ntakujibu.otherwise me inbox u !
 
Kwa mimi
Anaejua maana ya mapenzi hapaswi kuhesabu feedback alizopewa kutokana na kupenda kwake.
Na anaejua maana halisi ya mapenzi anajua wajibu wake (Mapenzini unawajibika)

Mimi nakupenda wewe Asha D
Basi nitapaswa nikuonyeshe ninavyokupenda
Ngoja niwaze sasa nimfanyie nini huyu Asha D kwa leo
" . . . Asha D anapenda sana utunzi wa mashairi, ngoja leo nitatunga shairi halafu nitamvizia ametulia tuliii naanza kumuimbia"
"Ngoja leo nimpelekee hizi nguo nyekundu, sijui atazipenda???"

"Aaaaaaaah, nishakumbukaaaaa
Anapendaga blauzi za pinki, pale "NEW ARRIVALS WEAR" zipo, wanauza elfu 80. Ngoja niende benki nikaongeze salio"

"Mmmmmmh . . . lakin ngoja kwanza! Nakumbuka dada ake aliwahi kuniambia kwamba alivyokuwa mdogo alikuwa anapenda sana kucheza rede. Ngoja leo nitengeneze ka-mpira kangu nakashona vizuuuuuri na uzi halafu nam-saplaiz nataka tucheze rede"

"Mengine ntamfanyia siku nyingine"

CPU Kwa mtindo huo Asha D anawenza shangaa akakupenda...

But then nakubuka kua CPU kazungumzia sana kuhusu huyu binti
but inavyo onesha sidhani kama huyu Asha D anawajibika ipasavyo....
Inakuaje pale mapenzi unayoyasikia na nguvy zoote unazoelekeza kwake,
Ni kama hizo hizo anazoelekeza kwa mwingine... Lets say huyu Asha D
haambiwi wala halali juu ya mkaka mwingine Kwa mfano Kaizer....
Ana hangaika huku na huku kama wewe ... Kutapa huku na huku kama wewe..
Waweza kweli mlaumi Asha D kama hakuelewi na hali mapenzi unayosikia juu yake
ndo mapenzi anayoyasikia kwa Kaizer???

Naye Asha D anatumia effort hizo hizo... Mara atupie kitu white sababu jamaa anataka hivyo
Mara ahangaike huku na kule kuhakikisha wine imenunuliwa ipo inamsubiri,
Mara awe tayari kwa ku** kila jamaa yake anapokua stressed na anahitaji..
Nisiendele zaidi maana naona huyo CPU unaemfahamu yuko katika hali
ngumu kama bibie Asha D (mbaya she is married.,,)

Labda shauri CPU, tunaweza tatua vipi???
 
Cmon girl.....na umri huu mi nifundishwe na hivi visharobaro?

We ndo mwalimu wangu, hebu peleka mimi darasani tena bana.

BTW unaendeleaje? Na unajua mchumbako navokumisi lakin?

Daaaah
Huu usharobaro wangu ndo umamzingua ZD kinoma
Nipo nae hapa Kempiski tunapata mvinyo wa Scotland
 
Sasa kama usingekuwa huo upendo wa kitandani unadhani wewe ungekuwepo leo? kwanza nahisi wangekuwa Adamu na Eva tu dunia nzima.
Upendo siyo ngono mpendwa.

Kuna upendo wa Agape jamani jamani jamani.......Yaani unampenda mpaka adui yako.....Na Teamo nahisi alikuwa anamaanisha hilo, ndo maana hata akagusia unampenda mwanao, utafeel vipi kama love yako inakuwa appreciated.

Mungu aendelee kuwafunulia Upendo wa kweli muache kuwaza ngo tuuuuuuu!
 
Kuhusu sharobaro nimeelewa,ntamwambia mjukuu mtiifu akufundishe nadhani huyo huna pingamizi.kuhusu hali yangu na kuwa umenimisi nasubiri wajukuu zako walale kwanza then ntakujibu.otherwise me inbox u !

Haaa!
Yaani na wewe umemkubalia???
 
Kuhusu sharobaro nimeelewa,ntamwambia mjukuu mtiifu akufundishe nadhani huyo huna pingamizi.kuhusu hali yangu na kuwa umenimisi nasubiri wajukuu zako walale kwanza then ntakujibu.otherwise me inbox u !

Ewaaaaa.........nadhani Sipiyuu atakuwa ameisoma hii yuziful post na ataziba kidomodomo chake...BTW mjukuu mtiifu umemfichia wapi? Au umemtuma akachote maji kisimani?........Haya inbox iko wazi.
 
Hawana jeuri hiyo.

Unajua hawa wajukuu zangu wakishaona neno "LOVE" akili zao zinaamia kwenye sita kwa sita na baioloji zao zinatetemeka kwa matamanio ya kulalana................Wizi mtupu na tabia mbaya imelala kwenye vimwaga mkojo vyao...LOL

Usiwaambie mi ndo nimeandika haya, si unajua pasiwedi ya babu kila mtu anaijua?
Haahahah....sasa babu sindo maana upo ili uwafundishe???Alafu mimi sipo kwenye kundi eeeeeh???!

Nampenda babu siwezi kumchongea....
 
Wewe ni mjukuu mteule.......hauwezi kutumbukia kwenye hili jambo.

Hebu mletee babu ugoro huku kitandani.
 
Daaaah
Huu usharobaro wangu ndo umamzingua ZD kinoma
Nipo nae hapa Kempiski tunapata mvinyo wa Scotland
Hapo dogo ndipo ulipopotea njia. ZD na hayo manywaji yako ni sawa na mafuta na maji....havitangamani.

Niko naye huku maeneo ya kanisani, tunakunywa fanta baada ya mazoezi ya kuimba kwaya.
 
CPU Kwa mtindo huo Asha D anawenza shangaa akakupenda...

But then nakubuka kua CPU kazungumzia sana kuhusu huyu binti
but inavyo onesha sidhani kama huyu Asha D anawajibika ipasavyo....
Inakuaje pale mapenzi unayoyasikia na nguvy zoote unazoelekeza kwake,
Ni kama hizo hizo anazoelekeza kwa mwingine... Lets say huyu Asha D
haambiwi wala halali juu ya mkaka mwingine
Kwa mfano Kaizer....
Ana hangaika huku na huku kama wewe ... Kutapa huku na huku kama wewe..
Waweza kweli mlaumi Asha D kama hakuelewi na hali mapenzi unayosikia juu yake
ndo mapenzi anayoyasikia kwa Kaizer???

Naye Asha D anatumia effort hizo hizo... Mara atupie kitu white sababu jamaa anataka hivyo
Mara ahangaike huku na kule kuhakikisha wine imenunuliwa ipo inamsubiri,
Mara awe tayari kwa ku** kila jamaa yake anapokua stressed na anahitaji..
Nisiendele zaidi maana naona huyo CPU unaemfahamu yuko katika hali
ngumu kama bibie Asha D (mbaya she is married.,,)

Labda shauri CPU, tunaweza tatua vipi???

Daaaah
Uliyoyasema ni ngumu kumesa aiseee
Hasa hapo unapoanza kujieleza ktk bold

Kama huyu Asha anafanya hivi wakati anajua nimeshamuoa na ni mke wangu wa ndoa, ni wazi kwamba kuna tatizo.
Inawezekana kitu anakipata huko kwa jamaa ambacho mimi simpi, au pengine ni tamaa zake tu mwenyewe.
Ni suala ambalo binadamu wengi hatuwezi vumilia hasa tunapofahamu mwenza wako anafanya hayo.
Kutokana na udhaifu wetu binadamu, ni wazi kwamba huwezi kuendelea kumpenda kama mwanzo
Yesu alisalitiwa na Yuda lakin bado hakupunguza upendo.

Kutatua suala kama hili njia zipo nyingi, hata wewe unaweza kupendekeza. Nisiende off topik kwa kutaja njia hizi.
Ninachoweza kusema ni kwamba binadamu tujitambue vizuri kwanza kimwili na kiroho
Sisi binadamu hatujakalimika kimwili wala kiroho, yatupasa tupendane pasipo kuangalia mapungufu yetu.
Kama unaona haya mapungufu mengine yapo ndani ya uwezo wangu, nikiyajua sitasita kuyafanyia kazi.
Kama mimi naweza hiki kile sikiwezi basi huo ni upungufu wangu, maana hata huko kwa jamaa wa nje hutapata kila kitu.
Utafikiria kutafuta jamaa mwingine ambaye jamaa wa awali hana, na utaendelea na tabia hiyo mwishowe utakuwa branded MALAYA

So my point is kila mmoja ajitambue, atambue na wengine, atambue na madhaifu ya binadamu
Tukielewa haya, tunaweza kudumu mapenzini
 
Maana halisi ya upendo ni kutoa bila kutarajia kupokea,angalia usijichanganye hapa
 
Maana halisi ya upendo ni kutoa bila kutarajia kupokea,angalia usijic
 
Maana halisi ya upendo ni kutoa bila kutarajia kupokea,angalia usijic
 
Daaaah
Uliyoyasema ni ngumu kumesa aiseee
Hasa hapo unapoanza kujieleza ktk bold

Kama huyu Asha anafanya hivi wakati anajua nimeshamuoa na
ni mke wangu wa ndoa, ni wazi kwamba kuna tatizo.

Inawezekana kitu anakipata huko kwa jamaa ambacho mimi simpi, au pengine ni tamaa zake tu mwenyewe.
Ni suala ambalo binadamu wengi hatuwezi vumilia hasa tunapofahamu mwenza wako anafanya hayo.
Kutokana na udhaifu wetu binadamu, ni wazi kwamba huwezi kuendelea kumpenda kama mwanzo
Yesu alisalitiwa na Yuda lakin bado hakupunguza upendo.

Kutatua suala kama hili njia zipo nyingi, hata wewe unaweza kupendekeza. Nisiende off topik kwa kutaja njia hizi.
Ninachoweza kusema ni kwamba binadamu tujitambue vizuri kwanza kimwili na kiroho
Sisi binadamu hatujakalimika kimwili wala kiroho, yatupasa tupendane pasipo kuangalia mapungufu yetu.
Kama unaona haya mapungufu mengine yapo ndani ya uwezo wangu, nikiyajua sitasita kuyafanyia kazi.
Kama mimi naweza hiki kile sikiwezi basi huo ni upungufu wangu, maana hata huko kwa jamaa wa nje hutapata kila kitu.
Utafikiria kutafuta jamaa mwingine ambaye jamaa wa awali hana, na utaendelea na tabia hiyo mwishowe utakuwa branded MALAYA

So my point is kila mmoja ajitambue, atambue na wengine, atambue na madhaifu ya binadamu
Tukielewa haya, tunaweza kudumu mapenzini

CPU Umenipa mtihani mzito saaaana... hasa ukizingatia hayo maneno nilo bold,
Utakua umenichanganya shem lakimi si mimi mkeo.. hivi umenichek vuzuri???
sie mimi mkeo... Ningekua mkeo hata nilipo fika hapa nyumbani (MMU)
nisingekuta una mke... Alafu bahati mbaya saana na mkubli ni mwalimu na partner wangu pia...
 
Hahhahahaha.....that‘s why me love you partner..dearly!!!
 
Back
Top Bottom