To ''love'' and ''feel loved''...!

sasa kama una 57 mbn huniamkii mm mwenye 60?umejuaje kama humu kuna vitoto vilivyochangia?ebu toa mfano wa mtoto mmoja hapo,aliekwambia mzee haumizwi na mapenzi nani?hujamuona mbibi anaenda shamba mbabu anamfatilia nyuma ili aone anaongea/ongozana na nani?si ni wivu wa mapenzi huo?Ungekuwa mdogo ningekwambia kojoa ukalale,lkn kwakuwa mkubwa mwenzangu welcome to ze world.

Ooh kumbe wewe ni ajuza! Lahaula salaleeeeh!! Haya nakaribia kwenye ulimwengu wako mimi mlimwengu niliyezeeka.
 
Babu hapa amekuwa konfuzd

Hivi hapa mjadala unazungumzia nini hasa?

1) Upendo kwa unayelala naye kitandani
2) Upendo kwa mtu wako wa karibu bila kujali jinsia... iwe watoto, wazazi, ndugu, majirani et el
3)Upendo wa Agape...yaani unapenda hata adui yako

Niko kitandani huku

Babu
Yesu alipokufa msalabani kwa dhambi zetu, UPENDO wake ulikuwa ni kwa ajiri ya kila mtu bila kujali kitanda. Tofauti na huyo unaelala nae ni tendo la ndoa tu (Hilo tendo si upendo)
Lakin mengine yote unaweza kufanya kwa yeyote
 
we just take our chances...
kuna kujaribu na ku pass
kuna kujaribu na ku feli
kitu hicho hicho kuhusu upendo ..

Well expressed AD.. I would like to add kua ni muhimu we learn from the mistakes ili walau if you try again, ufeli kipengele kingine but sio kilekile and like you said on and on and on mpaka kufika safari....
 
nimewaelewa vyema sana afrodenzi na wiselady......!

hivi wajameni na hii misemo ya siku hivi....!DO YOU BELIEVE IN THESE SAYINGS?
-love is blind
-love doesn't ask why
-love is when yours and mine become ours
-loves makes the world go around
When you contemplate this saying, ask yourself why do i believe this, what is it based, why should it be true. People generally use this saying to express how love blinds a person to another persons faults. Sometimes to extreme. For most people love is confused with deep need.

It is not that love is blind it is the fear, the deep seated need of love that blinds you, True love itself its burningly clear. Real love is never confusing. When you experiences love from the inside out and share that with your partner, there is crystal clear honesty from within yourselves outwards.
 
Babu
Yesu alipokufa msalabani kwa dhambi zetu, UPENDO wake ulikuwa ni kwa ajiri ya kila mtu bila kujali kitanda. Tofauti na huyo unaelala nae ni tendo la ndoa tu (Hilo tendo si upendo)
Lakin mengine yote unaweza kufanya kwa yeyote

Ewaaaa,

sasa niambie Teamo Ti anauzungumzia Upendo upi hasa? Wa kimapenzi?
 
Ewaaaa,

sasa niambie Teamo Ti anauzungumzia Upendo upi hasa? Wa kimapenzi?

Babu naona bado hujanielewa
Tofauti kati ya mkeo na wanawake wengine ni tendo la ndoa tu
Hakuna tofauti ya UPENDO inayopaswa iwepo between.
 
When you contemplate this saying, ask yourself why do i believe this, what is it based, why should it be true. People generally use this saying to express how love blinds a person to another persons faults. Sometimes to extreme. For most people love is confused with deep need.
It is not that love is blind it is the fear, the deep seated need of love that blinds you, True love itself its burningly clear. Real love is never confusing. When you experiences love from the inside out and share that with your partner, there is crystal clear honesty from within yourselves outwards.

Kwa maelezo haya... saizi you have passed...
 
Back
Top Bottom