klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kamanda, haya mapenzi hata uyajadili vipi, moyo wa mhusika ndio referee, hamna linesmen kwenye mapenzi.Bila dawa, binadamu wote maiti
Lete mchango kaka
nitafafanua post ijayo
kamanda, haya mapenzi hata uyajadili vipi, moyo wa mhusika ndio referee, hamna linesmen kwenye mapenzi.Bila dawa, binadamu wote maiti
Lete mchango kaka
:biggrin1::biggrin1:TF But if you fail and don't know what hit you then you are doomed... no success there...lol
Mhhhhh!!!we just take our chances...
kuna kujaribu na ku pass
kuna kujaribu na ku feli
kitu hicho hicho kuhusu upendo ..
So you want me dead lol!!!siingili Ng'ooo
Hebu rekebisha isomeke hivyo hapo juu :dance:
Well expressed AD.. I would like to add kua ni muhimu we learn from the mistakes ili walau if you try again, ufeli kipengele kingine but sio kilekile and like you said on and on and on mpaka kufika safari....
i feel more safe with my pillow..
naupenda lakini sijui kama unanipenda back
wont hurt my feelings ..
I feel comfortable around it
doesn't have any feelings..
mmmhhhhh
Phase 1 completedKwa maelezo haya... saizi you have passed...
sina cha kuongeza dear
umamalizia kila kitu asanteee..
Phase 1 completed
We kajukuu, hebu tafsiri hii makala uliyoandika hapa kwa kiswahili. Babu kiinglishi is not richabo!
haman kitu cha maana hapo babu
ni mimi naupenda mto wangu tu ..
na lala nao naukumbatia nikisia baridi
hautaniumiza roho yangu ..
kwa hiyo ni mmi na mto mto na mimi
boyfriend hapana mmmmhhh
nadhani hii inatosha kwa akili ya babu
na AD anamwomba babu asiwaze
sana hayo maneno.. soma tu basi
hahahahaha lol
haman kitu cha maana hapo babu
ni mimi naupenda mto wangu tu ..
na lala nao naukumbatia nikisia baridi
hautaniumiza roho yangu ..
kwa hiyo ni mmi na mto mto na mimi
boyfriend hapana mmmmhhh
nadhani hii inatosha kwa akili ya babu
na AD anamwomba babu asiwaze
sana hayo maneno.. soma tu basi
hahahahaha lol
Once the project has been approved there's no stopping unless fisadi ameingia katikati na kuifanya hio P Alias isitishwe au isimameMmmmh... I see P Alias is starting to take off..... Usijisahau lakini... Still a long way to go....lol
Once the project has been approved there's no stopping unless fisadi ameingia katikati na kuifanya hio P Alias isitishwe au isimame
i feel more safe with my pillow..
naupenda lakini sijui kama unanipenda back
wont hurt my feelings ..
I feel comfortable around it
doesn't have any feelings..
mmmhhhhh
I prefer to be loved
rather than being a fool and falling in loven again
when u love some one u r vulnerable
and u invariably get hurt in the end
Babu anarudi kitandani kulala.
maelezo ya mjukuu yamemridhisha
nafurahi kusikia babu ameridhika..
lala salama lakini mmmmmhhh