sipi you , sipi you mmmhhhh
hapo kwenye blue unaweza usipenda lakini ukapendwa
au unaweza penda usipopendwa my sipi youu..
mfano hai huu hapa sipi you mimi nakufukuzia
tangu kipindi kile kwenye mabua ya shamba la shule
lakini wewe ulikuwa unamfukuzia merry ..
nilikuwa nakupa gubiti yangu na ufuta
hapo hapo unampa merry mbele yangu..
nilikupenda kipindi hicho chote
lakini we ulikuwa unampenda merry ..
mmmmhhh
ni bora nibaki na mto wangu
hahahahahah lol
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Daaaah
Umenikuna kweli na mfano wako HALISI my AD
Me love it so much :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Ni wazi kwamba kipindi kile navaa kijeshi kwanza nilijihisi nimevaa OVYO kiasi kwamba sikutegemea wala kuwazia ningeweza kumvutia mdada yeyote. Isitoshe natambua ulivyokuwa unanitoa kwa ufuta, bagia, aiskrimu n.k. Kwa kweli nilijisikia raha sana kutoka na wewe (ulikuwa hujagundua hili).
Mimi nilijua kwamba UNAFURAHIA kunifanyia yote hayo, na inakufanya usikie raha. Sikuwahi kuwazia kwamba ungefurahi mara dufu kama ungepata feedback yangu (PAY BACK). Binafsi hata mimi nilikuwa nasikia raha sana, raha ambayo nilishiindwa kukuonyesha ukaelewa (hukuweza kuelewa MY FEEL of love to you).
Kama ningekuwa SIJA-FEEL your LOVE kwanza nisingeambatana na wewe mara zote hizo, nisingepokea lolote kutoka kwako, ningekuwa nakasirika kwa kila unalonifanyia, ningekuwa nakusema pembeni vibaya.
Hapa nadhani utakuwa umeona kwamba HUKUWEZA KUTAMBUA HISIA ZANGU KWAKO, au pengine majibu yangu ya KIHISIA kwako hayakukufanya utambue kwamba I HAVE FELT YOUR LOVE and i responded thru "being with you everytime" maana sikuwa na uwezo wa kukununulia vitu kama ulivyokuwa unanifanyia.
Naomba nikanushe kwamba SIKUWA NAMFUKUZIA Merry, ila pengine hizo ishara za kummegea ulivyonipa ndio vilikuwa vinakushawishi uone NAMFUKUZIA. Merry nilikuwa nimezoeana nae sana, familia yao na yetu zilikuwa marafiki sana. Nikiendaga kwao nakula vizuri tu, hata yeye akija kwetu. Tulizoeana vibaya niseme lakin hatukuwa tunatakana. Alikuwa ana mpenzi wake.
Hitimisho
Kutambua hisia za mtu kazi sana.