You will call :mod::mod::mod: for memmmmmhhhhh
Don't think to much, is bad for your health ..
Uzuri wa Project kama hiyo unafanya Investment sehemu mmoja tu.Like i said we wont finish... at least pending in the benefit of the Project ...lol...
To be honest i mis u,hivi ulipotelea wapi lakn?siipiyuu nimekuelewa vyema sana.........!
THANK YOU VERY MUCH
nimewaelewa vyema sana afrodenzi na wiselady......!
hivi wajameni na hii misemo ya siku hivi....!DO YOU BELIEVE IN THESE SAYINGS?
-love is blind
-love doesn't ask why
-love is when yours and mine become ours
-loves makes the world go around

Sasa mzee kama mimi mwenye umri wa miaka "57" sijui nichangie nini hapa maana naona ni vitoto tu vilivyochangia!! Teh tih teh tih teh......hivi "watu wazima" wenzangu mpo kweli humu?
Nashukuru kama bado upo upo.maisha ni pouwa sana na Mungu ni mwema/UPENDO...NIPO MAMA...!
maisha vipi?
Sasa mzee kama mimi mwenye umri wa miaka "57" sijui nichangie nini hapa maana naona ni vitoto tu vilivyochangia!! Teh tih teh tih teh......hivi "watu wazima" wenzangu mpo kweli humu?
To be honest i mis CPu,hivi ulipotelea wapi lakn?
samahani kwa ofutopik..
Love is Blind= Nadhani inamaanisha pale unapo mpenda mtu haijalishi
yukoje, alichofanya, anachofanya, atakacho kifanya
unampenda mtu kama alivyo.
na wengine wengi wataona kitu fulani ambacho kiko nje ya
au si kizuri eaither tabia appearance ( physical)
lakini wewe umeifumbia macho hayo ( huyaoni)
Love doesn't ask why= Kwa sababu kama ni upendo wa dhati majibu yote
( tunafikiri tunayo)
Love is when yours and mines becomes ours= ni kweli lakini hauja kamilika
sababu kwa mimi binafsi naelewa upendo unaweza ulalie upande
mmoja.. ( Hiki ni changu lakini ni cha kwetu sote) waweza mpenda
mtu ambaye ni very selfish ......
Loves makes the world go around= Very true
kila mtu anahitaji upendo, kila nchi inahitaji upendo
watu wanafanyiwa vitu vibaya ajili ya huu upendo
mfano ( US wanaenda Afaghanistan kwa njia ya upendo
wanasema wanaenda huko kuleta amani, na kujenga nchi
kurudishia watu matumaini ya maisha) na dunia nzima tukawasaport
kwa hilo .. lakini Je hicho ndo walichoenda kufanya?? au wamejificha
nyuma ya neno UPENDO..
Sitaki tena maswali magumu
usingizi wangu utakosa raha na LOVE
hahahahah lol
nimewaelewa vyema sana afrodenzi na wiselady......!
hivi wajameni na hii misemo ya siku hivi....!DO YOU BELIEVE IN THESE SAYINGS?
-love is blind
-love doesn't ask why
-love is when yours and mine become ours
-loves makes the world go around
You will call :mod::mod::mod: for me
Uzuri wa Project kama hiyo unafanya Investment sehemu mmoja tu.
Sometimes you have to fail in order to become a success..lol!!!Ni sehemu moja ndio but umeoona upana wake??? Kama huoni that is why you fail....lol
Ndo nini tena hiyo CPU???
Ndo love yenyewe au
hahahah lol
You will call :mod::mod::mod: for me
Uzuri wa Project kama hiyo unafanya Investment sehemu mmoja tu.
Sometimes you have to fail in order to become a success..lol!!!
Umeelezea mapenzi/upendo vizuri halafu hutaki HARD QNS/HARD TALK?? :biggrin1: