To all my sweet JF members!!open slowly

ooooh my God..............!!!!!!!!!
sweet and lovely.........................
 
<a href="https://www.jamiiforums.com/photo.php?pid=504747&amp;id=100001183559085" target="_blank"><img src="http://a6.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash4/263623_199617223421061_100001183559085_496744_4600202_n.jpg" border="0" alt="" /></a>
<br />
<br />
waoo, nice one!
 
sawa,..ila hapo kwenye kulov truly na ku4give quickly,...inabidi uwe makini san,maake mapenzi ya dot.com kama unalov truly unaweza kuishia kujimaliza.
 

Hii ya kukisi taratibu siielewi kwani waafrika wenye umri uliosogea kidogo hatuna hayo mambo ya kukisi labda hawa vijana wa siku hizi wanaoiga kwenye sinema. Hili la kucheka kama mwendawazimu na kusamehe harakaharaka lina walakini kidogo. Hasa hili la mwisho linahitaji tafakuri kidogo..
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom