Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,072
- 20,451
Katika hali isiyo ya kawaida , tangu mwaka 1928 TLS ilipoanzishwa, by the ikiitwa Tanganyika na mpaka leo inaitwa Tanganyika Law Society[huwezi kuita Tanzania law society kwakuwa kuna Zanzibar Law Socity] walikuwa na chaguzi za marais na ilikuwa ni kubembelezwa kuongoza chama.
Mwaka 2012 CCM ikaanza kupenyeza makada wake vyuoni na kuwa na matawi, ikapenyeza kwenye vyama vya wafanyakazi, bodi mbalimbali na wakamalizia na TLS;
Kimbembe kilianza pale Lau Masha alipohama CCM na kuingia CHADEMA , na ghafla akaona agombee urais, huku kada na mgombia Urais GODWIN MWAPONGO akachukua fomu kugombea TLS .
Nakumbuka ilikuwa 5-2-2016 pale viwanja vya mahakama Dar es salaam, yaani pale karibu na lile ghorofa kubwa linalochungulia ikulu ambalo iliamriwa floo za juu zivunjwe ili watu wasichungulie kwa MZEE BABA,[tofauti na marais wengine hawakuwa na woga huo]na baadae watu wa TISS kupewa appartments za juu, katika hotuba yake Magufuli alisema " TLS inaingiliwa na wanasiasa, naskia kuna mwanasiasa anataka kuwa rais wa TLS, kama mkimpitisha sitasshughulikia matatizo yenu.." wakulungwa wakapiga makofi, Mawakili binafsi wakaguna na kukanyagana viatu kimbea flani, kumkebehi "LAY MAN" anayewahutubia, infact yes he is Lay Man to date.
Wakati anasema hivyo Mwapongo katoka kukatwa Urais wa JMT kupitia CCM na MAsha siyo mbunge wala mwenyekiti wa mtaa, alikuwa na cheo cha " mume wa mke mmoja na watoto wawili tu" infact wanaotambulika, yale mambo yetu ya wazee hatutasema leo.
MzLISSU alikuwako pale, aliposikia hivyo mzuka ukapanda akachukua fomu ili apambane na Mwa[ongo maana aliona Masha hatoweza huo mziki ama atanunuliwa kwa vipande vya Pesa kama alivyonunuliwa na kurudi CCM.
LISSU alishindam, Mwakyembe na genge laki walichukia sana, wakapanga mikakati[kama ya Yuda iskarioti ]kumuangusha Lissu, wakaanza na kuzuia mikutano isifanyike AICC ARUSHA, wakafungua kesi kupitia kada wa ccm na mpiga dili za viongozi wakili Mpenzile , na Wasonga., kote wakashiindwa, wakapeleka mswada Bungeni TLS iwe saccos, wakashindwa sasa wamefanikiwa KUMUINGIZA KILANGI, anai munipulate na mpaka uchaguzi anaamua nani awe rais, maagizo toka juu.
Kaka Kilangi wewe ni mwanasheria japo una maringo na ka-english chako cha kuombea maji lakini nakwambai hao wansiasa wata staafu, wewe utaendelea na uwakili, utaficha wapi huu uovu?
Lo umeiandikia TLS barua ijieleze kwanini wanapitisha sheria yao ya uchaguzi wakati katiba inawaruhusu kufanya hivyo, mawakili si wajinga, wanakuchora tu!