Ndio unawezaMkuu kuna LG na Samsung zenye king'amuzi ndani, vp unaweza kuunganisha na ving'amuzi vya nje?
Ndio wapi hapo?Hela nyingi sana hio, nenda amazing lifestyle kwa 1.7 wanakuuzia hio tv. Mi nilinunua TCL nchi 49 smart tv na sony home theatre kwa pamoja january mwanzoni vyote kwa 1.8m
Sinza madukani lipo hilo duka, tembeleaNdio wapi hapo?
Hii niliona the amazing pale sinza wmeipost
Ofc zao ziko wapi kwa dar mkuu?TLC ni mchina ila aliestaarabika wana viwanda vyao wenyewe na wanauza Hadi USA. ndio hao hao wanaotengeneza simu za Blackberry na Alcatel. pia ndio brand ya tatu duniani kwa kuuza TV nyingi nyuma ya LG na Samsung.
LG ni wazuri zaidi kuliko TCL, ila TCL bei zao ni nafuu hivyo unaangalia mwenyewe na mfuko wako.
Kuhusu Ubora sijawahi tumia ila jamaa wana ofisi hapa Tanzania na spea zipo, hivyo ni bora kushinda kampuni nyingi zisizo na ofisi.
Sio kweliLG usinunue ni mbovu sana
posta mtaa wa samora, sijui exactly jengo gani.Ofc zao ziko wapi kwa dar mkuu?
Lakini ktk Ku operate vyote hivyo lazima TV iwe smart c ndio mkuu?Roku ni operating system mkuu, ni kama tunavyosema android na ios kwenye iphone. Roku inakuja kwa kasi kwa kuwa ni mfumo mzuri na rafiki hasa kwa smart tv kwavile ni nyepesi na haitumii memory kubwa kama android tv. Pia inakupa streaming channel nyingi zaidi za free ni wewe na bundle lako tu.
Yeah ikishakuwa na Roku tayari ni smart hiyoLakini ktk Ku operate vyote hivyo lazima TV iwe smart c ndio mkuu?
Eh mzee baba upo njema, namuona sony dav dz350 hapo, hebu nipe report ya utwangaji wake.miyangu nilinunuwa 880000 43 mwanza iko vizur sana ila sio smat maana simat naninyo sim
MUHIMU MREJESHO : Kaka nmepata taarifa za hii Hometheater ya Sony speaker fupi kua kuna Copy na Original haswa kutoka kwa rafkiangu wa miaka yuko kariakoo kaniambia kuna Copy ambazo zinafanana mwanzo mwsho na org mpaka specification kila kitu ila hazidundi na kuna Org.. yeye anaeza tofautisha so kama yako haidundi ni copy so kwe kununua ii tafta jembe la hii mambo ndio uende na pia izi copy wanashishaga bei kidogo.Dav-dz650 mkuu hebu nichekie, halafu pia naona kama hata mziki wake inavyopiga sio mzito kama ule niliousikia kwa ile ya rafiki yangu ambayo ilinifanya niitake kununua bass iko chini mpaka ni boost na EQ ya simu, form factor ni ile ile but im having a doubt about the quality of the sound na hizo features zake.
Nimependa setup yako hakuna hata waya mmoja unaoonekanamiyangu nilinunuwa 880000 43 mwanza iko vizur sana ila sio smat maana simat naninyo sim