TK shines brighter than as usual

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
IMAG0011TKc.jpg

aah totozi za kisukuma hoyeeee.....
 
Hebu ngoja nianze kuzihesabu totoz zote kali za Kisukuma…

Cynthia Masasi
Miriam Gerald
TK
Flaviana Matata (she is borderline)
Arifu....
cynthia.jpg

hii kitu wallahi kama ni nguo basi ni jeans..haichuji kudadadeki....
 
HIVI mwanamke mwenye sura nzuri na shape minus zero NA mwanamke mwenye sura mbaya na shape 100 plus,who is more desireable to a man in the long run??????
 
HIVI mwanamke mwenye sura nzuri na shape minus zero NA mwanamke mwenye sura mbaya na shape 100 plus,who is more desireable to a man in the long run??????

kaka wenye sura nzuri tunalipa coz ndio everlasting...shape hata dukani siku hizi zinanunuliwa
 
HIVI mwanamke mwenye sura nzuri na shape minus zero NA mwanamke mwenye sura mbaya na shape 100 plus,who is more desireable to a man in the long run??????
nafikiri vyote vikiwa makini ndo inalipa zaidi,ukiwa na kimoja ni sawa na hakuna
 
Sijamsikia kitambo huyu sijui yuko wapi

Tabasamu ngongoseko ndiye Lucy Kihwele aliyekuwa Multichoice Tanzania.....Sasa hivi yup Stanbic Bank kama sikosei....

Sidhani kama anahusika siku hizi,maana naona kama kawa mzee na kawa na mwili mkubwa....@Nyani Ngabu
 
Back
Top Bottom