Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
jamani marafiki naombeni mnisaaidie kwa hili?mods anabadilisha hizi title baada ya muda gani?maana mimi nimelala seniour member na kuamka leo expert
hiyo inabadilika kutokana na idadi ya post zako.....umeelewa...?
hiyo inabadilika kutokana na idadi ya post zako.....umeelewa...?
Naomba utupe mchanganuo mzima. Kama vile labda ukifikisha post 10 unakuwa senior au ukifikisha post 50 unakuwa expert na kuendelea.hiyo inabadilika kutokana na idadi ya post zako.....umeelewa...?
jamani marafiki naombeni mnisaaidie kwa hili?mods anabadilisha hizi title baada ya muda gani?maana mimi nimelala seniour member na kuamka leo expert
cha ajabu kuna mtu anapost 5000 ni jf expert member wakati kuna m2 ana post 2000 ni jf premium member. mwongozo jamani
cha ajabu kuna mtu anapost 5000 ni jf expert member wakati kuna m2 ana post 2000 ni jf premium member. mwongozo jamani
Hazole kuwa JF Premium Member haijalishi unapost ngapi ila hawa jamaa wanakuwa wamechangia kifedha kuboresha JF. Tunakaribisha mchango wako wa kifedha tutashukuru maana pia kuwa na sifa ya mwekezaji...unakuwa uko nyumbani zaidi. Shukrani.