Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,066
2,455
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
 
Habari wana jamii
Napitia maumiv sana kwenye ndoa yangu naomba kushea hii kabla sija chukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama mume wangu hana mapenzi na Mimi
Hudumu anatoa kila kitu lakini. Hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamaani hii kitu inaniuma sana, nimesha zungumza nae Mara kadhaa lakini habadiriki sasa nashindwa kuelewa. Lqbda wanandoa mje nifafa nulie hili
Je MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki.??
Naombeni mnishauri naumia sana..
Nawapenda nyote.
Unataka uchukue maamuzi gani? Sema usaidiwe.
 
Je MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki.??
Mkizidisha urafiki Mwisho utampanda kichwani inaonekana mumeo ni mtu wa misimamo ashakutambua kwamba akikuletea mazoea hata sex utaanza kumpangia ratiba hamchekewi, kuishi na ninyi inabidi uwe na tahadhari bila hivyo lolote laweza kutokea

Jana kuna Mzee kachoma nyumba yake kamletea mkewe mazoea mazoea wamezaa mtoto wa Mwisho eti Mwanamke hataki kumpa anamwambia mtoto sio wa kwake alafu ni mke wake wa Ndoa, Mzee Marwa kachoma nyumba Moto hadi imekua majivu kwa hasira
 
Ndoa ina muda gani?
 
Sema hii noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom