Titanic sunk by steering mistake, author says

Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
 
Heshima yako bibi aiseee upo deep na haya mambo... nakupenda sana.. Amin
 
Faiza umeandika kifupi ila umeeleweka safi sanaoxy, post: 15991801, member: 43551"]Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.[/QUOTE]
Faiza umeongea
 
Faiza leo umenikosha kwa kweli itabidi niingie deep kupata hii habari kama una link naomba nipatie
 
ACHENI porojo
Melissa hii ilipita bahati mbaya karibu na iceberg ikaweka tundu likaingiza maji mpaka ikazidiwa
Unaweza kuona ni bahati mbaya lakini mambo ya Mungu yako kiroho zaidi mwanadamu hawezi kuona au kutambua kwa akili yake ndogo aliyopewa na huyohuyo Mungu.Kama umemdhihaki Mungu wewe kwa uelewa wako ulitaka Mungu afanye nini ili ujue kuwa umemchukiza!
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Kweli nzi angeacha ufala angetengeneza asali safi kabisa.
 
Ni mkakati wa mashetani wa ILLUMINATI huo.Wako nyuma ya mipango mingi ya kiharamia na hujuma dhidi ya wanadamu wenzao.
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.

Kuanzia leo nakusimika kuwa "Mwanamke bora kuliko wote JF "Faizafoxy you're real genius, ulicho comment ndicho nami nilitaka Ku comment, Kwa kweli umenifurahisha Sana ,MUNGU si wa Kuchezea hata kidogo.
 
Back
Top Bottom