Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic yenyewe ni kufuru, upo juu / ndani ya kufuru halafu huhusiki na kufuru?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Unafanya nini huku nenda jukwaa la Habari Na hoja mchanganyiko fasta kaka kazua mambo kule. , njoo fasta bana
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Akili za hivi ni sumu sana kwa ubongo wa wanadam wengi,Yaan kwa maana nyingine mungu aliizamisha meli ili ku-prove kwamba yeye ndio kila kitu?.Kwa hiyo wale waliokufa walihusikaje na kauli za walioitengeneza?.Hivi mungu anayelipiza kwa kufanya maovu ili ifahamike kwamba yupo ni mungu kweli,?Huwa nafuatilia mijadala mbali mbali unayochangia humu Jf uko vizur lakini katika hili Uko ndani ya BOX dadangu.

Siku hichi kizazi kikikomboka kifikra muda utakuwa umeisha.HAKUNA MUNGU so enjoy your life to the maximum
...karibu katika ulimwengu huru...
 
safi kabsa.
 
Naam, hicho ni kipigo kwa wenye kukufuru.

Huna uhuru zaidi ya kuwa ni mtumwa wa ibilisi.
 
Hata MV Bukoba ilikuwa uzembe kama huu huu tena na kuzidi.

Ku overload meli na watu pamoja na mizigo kliko uwezo wake.

Ilisemekana ilipokuwa imeleta shida, kuna jamaa anaitwa Genji, mwenye boats zina vusha abiria kamanga ferry, aliomba boat zake zisaidie kuvuta meli hiyo ili itoke kwenye kina kirefu isogee kwenye kina kifupi cha maji isije kuzama. Lakini sijui kwa hofu gani, viongozi walikataa wakasema kuna wataalamu wanakuja toka Dar wako njiani watakuja kuishughulikia.

Wataalamu hauo walippfika, meli inazama, wakatoboa eti sijui ndiyo wapate namna ya kuwaokoa raia ama vipi!. Kutoboa huko ndiko ikawa balaa ya meli kuingiza maji na kuzama kwa kasi hadi hayo yakatupata Watanzania!

Uzembe wa MV Bukoba. Lakin haikusemwa nayo!.
Uko sahihi nafikiri....kuna wazee wawil tofauti waliwahi kunipa hii story kama ulivosema kabisa
 
Sasa mbona kuna wengine walikufa hata hawahusiki na hayo maneno ya kufuru, huyu mungu kwakweli bhana dah!
wafia dini wana shida sana mkuu...kila kitu anasingiziwa mungu tu ata vitu vya ajabu
 
Basi huyo mungu ni gaidi...kama anaua hadi wasiohusika

Yeye ndiye mwenye kutoa na kutwaa uhai. Yeye ndiye mwenye kukadiria kila kitu.

Kama huna mabaya kwanini uogope kufa?

Naam, wanao kufuru wana hofu ya kifo kwa kuwa mnajuwa adhabu inayowangoja huko. Hakika wasio kufuru wanajuwa kuwa wanatembea na umauti na hawana hofu nao kabisa.
 
Ina mana zile aina za majini kule hujaziona? Umeeitwa Sana kule, nenda bana
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Thats wasn't Titanic madam but her csta ship very similar to it nina documentary with many professional arguments if u wish nitakupa inajibu maswali mengi sana issue kubwa ikiwa ni maswala ya bima
 
Yeye ndiye mwenye kutoa na kutwaa uhai. Yeye ndiye mwenye kukadiria kila kitu.

Kama huna mabaya kwanini uogope kufa?

Naam, wanao kufuru wana hofu ya kifo kwa kuwa mnajuwa adhabu inayowangoja huko. Hakika wasio kufuru wanajuwa kuwa wanatembea na umauti na hawana hofu nao kabisa.
Hakuna anaeogopa kufa...ila pia hakuna mungu mwenye roho mbaya...et aue watu maelfu kisa kufuru ya mtu mmoja..!
 
Ilizamishwa kwa makusudi na watu fulani kwa lengo la kiuchumi, watu wachache kwenye meli ambao ni target waliwaponza wengi wasio na hatia...
Thats it umeifuatilia hii meli like me I think
 
kuzama kwa titanic ni baada ya meli kugonga mwamba wa barafu. lakini chanzo halisi hakuna anae jua japo kuna conspiracy theorist wana link kuzama kwa titanic na jesuit. kwani mnamo mwaka 1910 kamati ya watu saba walikutana ktk kisiwa fulani kwa lengo la ku establish private federal bank ya usa na kulikuwa na watu wanaopinga kuanzishwa kwa private central bank in america watu hao walikuwa ni matajiri wa kubwa ambao hawakuwahi kuwapo duniani na jesuit wanalaumiwa cz they invite All the wealthy and powerful men the Jesuits wanted to get rid of were invited to take the cruise. Three of the richest and most important of these were Benjamin Guggenheim, Isador Strauss, the head of Macy’s Department Stores, and John Jacob Astor, probably the wealthiest man in the world. watu hawa walipinga private central bank au federal reserve so ikabidi wapotee ili lengo litimie na kwa kuongezea inasemekana na captain wa titanic alikuwa jesuit member.
Kwa kuongezea tu sister ship ya titanic ilikuwa imepata ajali mara kadhaa hvyo ikahitaj matengenezo makubwa ambayo yangeitia hasara kampuni hvyo mabosi walikaa na kukubaliana na captain washift position ya hz meli mbili zilizokiwa zkifanana sana kwa kuwa ni same class ili wakaizamishe ile meli ya awali na kulipwa bima kubwa .
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Mmmh ulikuwepo
 
Back
Top Bottom